Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Kusanyiko la matapeli tupu, bora yapigwe hata na tetemeko yote
SI WALIKUWA NA MKUTANO ULIOMPITISHA KUWA NA FOMU MOJA YA URAIS SASA MKUTANO MWINGINE WA NI WA NINI?Wakuu, CCM wanafanya mkutano wao mkuu maalum leo na kesho (May 29-30) Dodoma, nadhani an wengine watafuatilia mahala walipo kwakuwa sehemu ni ndogo.
Nini kitajili leo, Gwajima hatimaye atavuliwa uanachama? Tutaona yatakayojiri.
Wakuu, CCM wanafanya mkutano wao mkuu maalum leo na kesho (May 29-30) Dodoma, nadhani an wengine watafuatilia mahala walipo kwakuwa sehemu ni ndogo.
Nini kitajili leo, Gwajima hatimaye atavuliwa uanachama? Tutaona yatakayojiri.
sijui wanapatikanaje ila matatizo ya nchi hii leo yapo sehemu moja, tungepata wokovu kuyamaliza kwa pamojaumewaza kama mm mkuu, sijui tuwapate wapi akina mohamed atta wetu, wateke bombadia mbili wakazibamize pale fasta taifa lipone.
KILIO MAKATIBU WA CCM WILAYA YA MKURANGA.
Chama Makao Makuu, mtusaidie SISI makatibu wa CHAMA na Jumuiya zake wilaya ya Mkuranga. Tumechoka kutumika.
Mbunge wetu anatulazimisha kufanya mambo kinyume na utaratibu wa Chama Chetu ili kumtafutia kura.
Mara kadhaa amekua anatulazimisha Kuwaita wajumbe kutumia kivuli cha semina elekezi, kumfanyia kampeni (yeye au mkewe) na kuwatisha kua atawashughulikia wanaompinga kutumia mamlaka yake.
Sasa TAR_*EHE 03.06.2025, Ametulazimisha, kuwaita wajumbe wote wa kamati za Utekelezaji kaka zote 25 na matawi yote 247 ya wilaya ya Mkuranga, watakua wajumbe zaidi ya 5000*_, kwa ajili ya semina elekezi, zote zifanyike siku moja na kila jumuiya ktk ukumbi wao. Lengo Kuu ni kuwapa maelekezo wamchague yeye uchaguzi ujao wa 2025, na apate fursa ya kuongea nao na kuwapa pesa ili awashawishi wamchague tena.
Mafunzo gani ya watu zaidi ya 5000?
*Kama hiyo haitoshi amekua anatulazimisha kupeleka viongozi na wanachama wale anoahisi hawamuungi mkono takukuru*_. Hadi sasa tushapeleka zaidi na wanachama/viongozi wa Chama Chetu zaidi 50 takukuru, kinachofanyika huko ni kutishwa na kutakiwa wamuunge mkono mbunge uchaguzi ujao, kwani yeye kiongozi Mkubwa na atawashughulikia wale wote wasiomuunga mkono.
Hali hii inaleta MPASUKO NA CHUKI KWA CHAMA CHETU WILAYA MKURANGA.
Mtusaidie.
Inasikitisha
Tumor ndani sana ya mfumoChoiceVariable chiembe jingalao mko ndani ya nyumba au na nyie ni vidampa tu watazamaji wa cake kutafanwa kwa mbali tu kama majority??
Cc-: Lucas MwashabwaChoiceVariable chiembe jingalao mko ndani ya nyumba au na nyie ni vidampa tu watazamaji wa cake kutafanwa kwa mbali tu kama majority??
Naunga mkono hojaMikutano ya ccm haina mvuto tena.. Sio kwa wananchi tu bali hata kwao wenyewe.. Miaka ya nyuma ingekuwa sasa hivi ndio homa ya jiji
Wakuu, CCM wanafanya mkutano wao mkuu maalum leo na kesho (May 29-30) Dodoma, nadhani an wengine watafuatilia mahala walipo kwakuwa sehemu ni ndogo.
Nini kitajili leo, Gwajima hatimaye atavuliwa uanachama? Tutaona yatakayojiri.
Labda Shetani awabariki, huwezi kuua kupiga kubaka kupoteza halafu Mungu akubariki.Mungu wa mbinguni awabariki
Kwa nini awabarikiMungu wa mbinguni awabariki
ndo walewale wanajua tu kusoma na kuandika aisee wakenya wametuweza safari hii
huu mwaka mama anavitu vingi vya ajabuajabu