PreGE2025 CCM yapitisha marekebisho matatu kwenye Katiba ya chama chao ikiwemo vikao vya chama kufanyika kwa njia ya mtandao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu, CCM wanafanya mkutano wao mkuu maalum leo na kesho (May 29-30) Dodoma, nadhani an wengine watafuatilia mahala walipo kwakuwa sehemu ni ndogo.

Nini kitajili leo, Gwajima hatimaye atavuliwa uanachama? Tutaona yatakayojiri.
SI WALIKUWA NA MKUTANO ULIOMPITISHA KUWA NA FOMU MOJA YA URAIS SASA MKUTANO MWINGINE WA NI WA NINI?
 
Wakuu, CCM wanafanya mkutano wao mkuu maalum leo na kesho (May 29-30) Dodoma, nadhani an wengine watafuatilia mahala walipo kwakuwa sehemu ni ndogo.

Nini kitajili leo, Gwajima hatimaye atavuliwa uanachama? Tutaona yatakayojiri.
 

Attachments

  • 6076381-896e2bbb72289d0a6369c410a6ff1ed7.mp4
    4 MB
umewaza kama mm mkuu, sijui tuwapate wapi akina mohamed atta wetu, wateke bombadia mbili wakazibamize pale fasta taifa lipone.
sijui wanapatikanaje ila matatizo ya nchi hii leo yapo sehemu moja, tungepata wokovu kuyamaliza kwa pamoja
 

Inasikitisha
 
Daàza kifua kipana...jeshi mtu 1 kulinda kzmz gharama yeyoteeeee
 
wakiongelea na kukemea utekaji na mauaji na kupotea
mntag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…