PreGE2025 CCM yapitisha marekebisho matatu kwenye Katiba ya chama chao ikiwemo vikao vya chama kufanyika kwa njia ya mtandao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mhe.Askofu Gwajima alikuwepo kwenye vikao?
 
Kubabake 😎😎. Mwanzo wa kusimika udikteta
 
HAKIKA chura ni mvivu KABISA!! Eti kwa njia y mtandao. Daaah uenda hata mikataba ya nchi wanamsomea kwa njia ya mtandao.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mikutano ya ccm haina mvuto tena.. Sio kwa wananchi tu bali hata kwao wenyewe.. Miaka ya nyuma ingekuwa sasa hivi ndio homa ya jiji
unajifariji ukiwa wapi ndugu? yaaani sasahivi dodoma ni motooo ni fireee yaaanikumekucha CHADEMA roho zinawauma sanaaaa sasahivi ccm inavyoendesha mambo yake
 
Kama kweli sisi CCM ni chama makini, ilitakiwa tujadili suala la utekaji na mauaji ya watu wasio na hatia.
 
Network inavokuwaga inasumbua sasa.
Ila Good idea
 
Ila
Hiyo ni nafasi nzuri ya kutatua matatizo ya nchi hii, once & for all. Rpg moja tu linafagia wote, tunaanza upya
nyie ndugu mmefika mbali sana. Wenye nchi wanajua jinsi wananchi walivyo na hasira nao??. God forbid
 
Wachumia tumbo na machawa yananyooshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…