PreGE2025 CCM yapitisha marekebisho matatu kwenye Katiba ya chama chao ikiwemo vikao vya chama kufanyika kwa njia ya mtandao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tatizo chadema huwa hamna ajenda zaidi ya kuua na kuteka. Watu wakikaa kujadili Mambo muhimu nyie mnawaza jambo moja tuu kuteka na kuua.
Kenge wewe kulipwa buku 2 na ccm.mwisho wa mwezi unaona umeyapatiaa maisha
 
Write your reply...kumbe sio jambo geni kufanya mkutano mkuu kwa njia ya mtandao
 
Wanataka Wajumbe tukose Perdiem za safari.. hebu tuje Dodoma hukohuko
 
 
 
Mtuhumiwa ambaye alikuwa Meya,ni Mtia Nia nafasi ya Ubunge kupitia CCM huko ,Jimbo la Moshi Mjini.
 

Attachments

  • VID-20250419-WA0028.mp4
    14.1 MB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…