LGE2024 CCM yashinda 98.83% Wenyeviti Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huu upumbavu ndio reflection ya udumavu WA akili wa mtu mweusi
Ngedere kabisa
 
kila moja kavuna alichopanda kwa wanainchi.

Imani ya waTanzania imeamua uelekeo wa Taifa.
Hongera sana CCM kwa ushindi wa kishindo.

Shukrani sasa vyama vingine kwa kushiriki uchaguzi kwa amani.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi πŸ’
Kudumu Chama cha Majizi wa Kura
 
Iyeeena iyeeena, iyeeena iyeeena, iyeeena iyeeena(kiitikio-Lissu na wenzake) CCM nambari one
 
Kvma la mama yako
 
Kuna rafiki yangu na wasichana wake dukani walichukuliwa dukani na ma ccm kwenda kupiga kura wakati hawakujiandikisha!.
Dodoma Mjn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…