CCM yashiriki kusambaza tabasamu kwa watoto wenye saratani nchini

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
CCM YASHIRIKI KUSAMBAZA TABASAM KWA WATOTO WENYE SARATANI NCHINI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Godfrey Chongolo leo tarehe 15 Agosti, 2021 ameshiriki matembezi ya Km 5 yalioandaliwa na Benki ya CRDB yenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kugharamia matibabu kwa watoto wenye Saratani na utunzaji wa mazingira nchini.

Matembezi hayo yameanzia katika viwanja vya Green Park Osterbay ambapo Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa.

CCM imeshiriki kusambaza tabasam kwa watoto wenye Saratani, CCM imeshiriki utunzaji wa Mazingira

Imeandaliwa na;

Said Said Nguya
Afisa Habari
Ofisi ya Katibu Mkuu
CHAMA CHA MAPINDUZI

Naona Pm anaanza kupiga jalamba,anaanda mitandao taratibu
 
Ccm Ndiyo Imeleta Tozo Leo Inasambaza Tasabam Lipi Jamani?πŸ˜£πŸ˜πŸ™„πŸ˜‘πŸ˜
 
... matapeli wakubwa! Hizo tozo matumizi yake ni yapi? CRDB imeamua rasmi kujihusisha na siasa za vyama?
 
Nasubiri kuona chama Cha magaidi kikisambaza chuki kwa wananchi.
 
CCM ni chama Cha watanzania wote,asiye itaka afe tu

USSR
Jengeni uchumi wa nchi ili kila familia iwe na uwezo wa kuhudumia mwanafamilia mwenye changamoto ya afya, siyo kutumia maskini kujijenga kisiasa. Huu ni upumbavu! Nyie mbona mkipata kasaratani kadogo mnaenda kukata vidole India?! Tena kwa kodi zetu. Kwanini CCM isiwatembelee ocean road kuwaletea matumaini?!
 
CCM yenyewe ni Saratani kwa Tanzania inawezaje kusambaza Tabasamu.
 
Reactions: BAK
Unaijua TASAF

USSR
 
Serikali in vyanzo vingi vya fedha kupitia kodi, tozo na maduhuli mbalimbali. Je! Ni kweli inashindwa kutenga bajeti ya kutosha kwenye hosptali zenye wagonjwa wenye changamoto kubwa za kiafya na hata kupelekea KM wa chama tawala kutembeza bakuli kwa walipa kodi wake!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…