PreGE2025 CCM yasitisha mikutano inayowahusisha wajumbe wa vikao vya wachujaji wagombea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusitisha mara moja mikutano, semina, ziara na makongamano yote yanayowahusisha wajumbe wa vikao vya uchujaji na uteuzi wa wagombea wa ubunge, uwakilishi na udiwani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, 2025.

1750692457025.png
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, imeeleza kuwa kusitishwa kwa mikutano hiyo ni kwa lengo la kuhakikisha maandalizi ya kura za maoni yanafanyika kwa uwazi, uadilifu na kwa mujibu wa katiba, kanuni na miongozo ya Chama.

Soma: CCM wafanya mabadiliko ya ratiba, uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani sasa kufanyika Juni 28 mpaka Julai 2, 2025

CCM imewaonya wanachama na mawakala wao kuepuka vitendo vinavyokiuka taratibu za chama na kusisitiza umuhimu wa kudumisha maadili, nidhamu, mshikamano na umoja wakati wote wa mchakato wa uteuzi.
1750692527779.png
 
Screenshot_20250613-122647~2.png
 
Kunaendelea kukucha taratibu
 
Nchi ya chama kimoja kinafanya yake kipendavyo. Ila sheshe na tifu litatokea tu kwa wanachama wake wengi wanaochuana kwenye kura za maoni japo kutakuwa na rundo la wasindikizaji
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusitisha mara moja mikutano, semina, ziara na makongamano yote yanayowahusisha wajumbe wa vikao vya uchujaji na uteuzi wa wagombea wa ubunge, uwakilishi na udiwani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, 2025.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, imeeleza kuwa kusitishwa kwa mikutano hiyo ni kwa lengo la kuhakikisha maandalizi ya kura za maoni yanafanyika kwa uwazi, uadilifu na kwa mujibu wa katiba, kanuni na miongozo ya Chama.

Soma: CCM wafanya mabadiliko ya ratiba, uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani sasa kufanyika Juni 28 mpaka Julai 2, 2025

CCM imewaonya wanachama na mawakala wao kuepuka vitendo vinavyokiuka taratibu za chama na kusisitiza umuhimu wa kudumisha maadili, nidhamu, mshikamano na umoja wakati wote wa mchakato wa uteuzi.
Siku izi kumbe ccm wanajifanya ni chama cha kidigitali ati wanatumia mpaka Barcode scaner kwenye barua zao ati .

Katibu mkuu anajua nini ameongea ,sababu zitakua nyingi tu ila Mda mwalimu
 
Katibu mkuu ccm, ccm ipo kwenye hatua za mwisho za kujitangaza ,sasa hili zuio la nini ? Mkuu naomba jibu muluha sio la sababu tajwa kwenye barua ya chama
 
Back
Top Bottom