PreGE2025 CCM yasitisha mikutano inayowahusisha wajumbe wa vikao vya wachujaji wagombea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusitisha mara moja mikutano, semina, ziara na makongamano yote yanayowahusisha wajumbe wa vikao vya uchujaji na uteuzi wa wagombea wa ubunge, uwakilishi na udiwani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, 2025.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, imeeleza kuwa kusitishwa kwa mikutano hiyo ni kwa lengo la kuhakikisha maandalizi ya kura za maoni yanafanyika kwa uwazi, uadilifu na kwa mujibu wa katiba, kanuni na miongozo ya Chama.

Soma: CCM wafanya mabadiliko ya ratiba, uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani sasa kufanyika Juni 28 mpaka Julai 2, 2025

CCM imewaonya wanachama na mawakala wao kuepuka vitendo vinavyokiuka taratibu za chama na kusisitiza umuhimu wa kudumisha maadili, nidhamu, mshikamano na umoja wakati wote wa mchakato wa uteuzi.
Taarifa hii Haina manufaa Kwa taifa.
 
Dodoma wawe wakweli, mbinyo wa No Reforms No Election umewabana hasa ndani ya nchi na nje walipo wadau wa maendeleo nao wanasisitiza No Reforms No Election

TOKA MAKTABA :
13 April 2021

Bunge la Somalia lapiga kura ya kuongeza muda wa rais na serikali yake​

13 Aprili, 2021
Wabunge wa Somalia wakipiga kura kuongeza muda wa rais Farmajo.

Siasa za Somalia ziliingia katika hali ya mkanganyiko Jumatatu wakati mabaraza mawili ya bunge yalipingana vikali juu hadhi ya Rais Mohamed Abdullahi Farmajo.

Baraza kuu la bunge lilipiga kura ya kuongeza muda wa rais na serikali yake kwa miaka miwili, wakati baraza jingine la bunge limesema hatua hiyo ilikuwa kinyume na katiba.

Kikao hicho maalum kilishuhudia wabunge 149 wakipigia kura pendekezo hilo la kuongezewa muda, huku watatu wakipinga.
Lakini ndani ya dakika chache, baraza jingine la bunge lilipinga, na spika akisema hatua ya baraza kuu ni kinyume na katiba.
Kwa vyovyote vile, hakuna ishara yeyote kwamba uchaguzi wa bunge na urais uliocheleweshwa wa Somalia utafanyika wakati wowote hivi karibuni.

Uchaguzi, ambao hapo awali ulipangwa kufanyika mwishoni mwa mwaka jana, bado haujafanyika kwa sababu ya mabishano kati ya viongozi wa kisiasa juu ya nani atadhibiti mchakato wa uchaguzi.

Mazungumzo ya kumaliza mchakato huo yalimalizika kwa mkwamo licha ya shinikizo kutoka Umoja wa Afrika, Umoja wa Ulaya na washirika wengine wa kimataifa wa serikali ya Somalia.

Spika wa bunge, Mohamed Mursal, alisema Jumatatu kwamba wabunge lazima wawajibike kama wawakilishi wa watu, kuchukua maamuzi wakati mahitaji yanapotokea.

Rais Farmajo, ambaye muda wake madarakani ulimalizika rasmi Februari 8, mara moja alikubaliana na kuidhinishwa kuongezewa muda na baraza kuu la bunge.

Katika taarifa, rais aliwasihi raia kuchukua fursa ya kihistoria kuchagua hatima yao ya kidemokrasia.

Hata hivyo, wapinzani, wakiongozwa na waziri mkuu wa zamani, Hassan Ali Khaire, walionya kwamba kuongeza muda wa rais kunaweza kuwa na matokeo mabaya.

Hapo awali, mkuu wa polisi nchini humo Abdi Mohamed Hassan alimfukuza kazi kamanda wa polisi wa mkoa wa Mogadishu Jenerali Sadik Omar baada ya kujaribu kusimamisha kikao cha bunge, akitaja wasiwasi wa usalama
Source : VOA News
 
Katibu mkuu ccm, ccm ipo kwenye hatua za mwisho za kujitangaza ,sasa hili zuio la nini ? Mkuu naomba jibu muluha sio la sababu tajwa kwenye barua ya chama
Utashangaa Mwashambwa ndo anatumwa kuja kutoa jibu hapa🤣🤣
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusitisha mara moja mikutano, semina, ziara na makongamano yote yanayowahusisha wajumbe wa vikao vya uchujaji na uteuzi wa wagombea wa ubunge, uwakilishi na udiwani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, 2025.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, imeeleza kuwa kusitishwa kwa mikutano hiyo ni kwa lengo la kuhakikisha maandalizi ya kura za maoni yanafanyika kwa uwazi, uadilifu na kwa mujibu wa katiba, kanuni na miongozo ya Chama.

Soma: CCM wafanya mabadiliko ya ratiba, uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani sasa kufanyika Juni 28 mpaka Julai 2, 2025

CCM imewaonya wanachama na mawakala wao kuepuka vitendo vinavyokiuka taratibu za chama na kusisitiza umuhimu wa kudumisha maadili, nidhamu, mshikamano na umoja wakati wote wa mchakato wa uteuzi.
 
Wazee hi taka taka nilisha ignore
 
Attachments

  • Screenshot_20250623-212448.jpg
    Screenshot_20250623-212448.jpg
    148.5 KB · Views: 26
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusitisha mara moja mikutano, semina, ziara na makongamano yote yanayowahusisha wajumbe wa vikao vya uchujaji na uteuzi wa wagombea wa ubunge, uwakilishi na udiwani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, 2025.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, imeeleza kuwa kusitishwa kwa mikutano hiyo ni kwa lengo la kuhakikisha maandalizi ya kura za maoni yanafanyika kwa uwazi, uadilifu na kwa mujibu wa katiba, kanuni na miongozo ya Chama.

Soma: CCM wafanya mabadiliko ya ratiba, uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani sasa kufanyika Juni 28 mpaka Julai 2, 2025

CCM imewaonya wanachama na mawakala wao kuepuka vitendo vinavyokiuka taratibu za chama na kusisitiza umuhimu wa kudumisha maadili, nidhamu, mshikamano na umoja wakati wote wa mchakato wa uteuzi.
mchakato urudiwe samia akae pembeni
 
Back
Top Bottom