Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusitisha mara moja mikutano, semina, ziara na makongamano yote yanayowahusisha wajumbe wa vikao vya uchujaji na uteuzi wa wagombea wa ubunge, uwakilishi na udiwani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, 2025.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, imeeleza kuwa kusitishwa kwa mikutano hiyo ni kwa lengo la kuhakikisha maandalizi ya kura za maoni yanafanyika kwa uwazi, uadilifu na kwa mujibu wa katiba, kanuni na miongozo ya Chama.
CCM imewaonya wanachama na mawakala wao kuepuka vitendo vinavyokiuka taratibu za chama na kusisitiza umuhimu wa kudumisha maadili, nidhamu, mshikamano na umoja wakati wote wa mchakato wa uteuzi.
Kunaendelea kukucha taratibuChama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusitisha mara moja mikutano, semina, ziara na makongamano yote yanayowahusisha wajumbe wa vikao vya uchujaji na uteuzi wa wagombea wa ubunge, uwakilishi na udiwani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, 2025.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, imeeleza kuwa kusitishwa kwa mikutano hiyo ni kwa lengo la kuhakikisha maandalizi ya kura za maoni yanafanyika kwa uwazi, uadilifu na kwa mujibu wa katiba, kanuni na miongozo ya Chama.
CCM imewaonya wanachama na mawakala wao kuepuka vitendo vinavyokiuka taratibu za chama na kusisitiza umuhimu wa kudumisha maadili, nidhamu, mshikamano na umoja wakati wote wa mchakato wa uteuzi.
Wanakaribia kulitema bungoZa ndaaaaaaniiii hata bunge halivunjwi ile tarehe. Kule Zenji wameahirisha
Na badoSawa.
Siku izi kumbe ccm wanajifanya ni chama cha kidigitali ati wanatumia mpaka Barcode scaner kwenye barua zao ati .Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusitisha mara moja mikutano, semina, ziara na makongamano yote yanayowahusisha wajumbe wa vikao vya uchujaji na uteuzi wa wagombea wa ubunge, uwakilishi na udiwani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, 2025.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, imeeleza kuwa kusitishwa kwa mikutano hiyo ni kwa lengo la kuhakikisha maandalizi ya kura za maoni yanafanyika kwa uwazi, uadilifu na kwa mujibu wa katiba, kanuni na miongozo ya Chama.
Soma: CCM wafanya mabadiliko ya ratiba, uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani sasa kufanyika Juni 28 mpaka Julai 2, 2025
CCM imewaonya wanachama na mawakala wao kuepuka vitendo vinavyokiuka taratibu za chama na kusisitiza umuhimu wa kudumisha maadili, nidhamu, mshikamano na umoja wakati wote wa mchakato wa uteuzi.
Parapanda July na mpango abapasha anafanya warm upWanakaribia kulitema bungo
Kabisaaa na hapo ndo ccm inapata shida maana ishagaramia sana.Na bado
Hata uchaguzi uta ahirishwa
Kabisaaa na hapo ndo ccm inapata shida maana ishagaramia sana.
This explains the effects of NO REFORMS NO ELECTIONZa ndaaaaaaniiii hata bunge halivunjwi ile tarehe. Kule Zenji wameahirisha