Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Katika haii ya kuonyesha kuwa CCM haiko serious, imetuletea wagombea magumashi, walaghai, wasaniiwasanii.
Mmoja wa wagombea feki, ni mzee wa kanyanga Gwajima. Huyu ana maskendo mengi kuanzia tuhuma za ngono zembe na kulaghai watu kuwa ana uwezo wa kufufua watu. Hapa chini ni video Gwajima akijifanya kumfufua mtu.
Ukiachilia mbali hilo, Askofu Gwajima bila staha amewahi kumporomoshea matusi Askofu pengo kinyume cha staha za kiongozi wa kiroho.
Jambo la kujiuliza ni kuwa CCM, imefikiria nini hata kumleta mgombea huyu mwenye kila aina ya kashfa kuwa mgombea.
Ni dhahiri CCM hapa kwa Gwajima imebugi, tena imebugi kwelikweli
Tazama video hapa Chini Gwajima akifufua mtu: