Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
ππππKatika haii ya kuonyesha kuwa CCM haiko serious, imetuletea wagombea magumashi, walaghai, wasaniiwasanii.
Mmoja wa wagombea feki, ni mzee wa kanyanga Gwajima. Huyu ana maskendo mengi kuanzia tuhuma zw ngono zembe na kulaghai watu kuwa ana uwezo wa kufufua watu. Hapa chini ni video Gwajima akijifanya kumfufua mtu.
Ukiachilia mbali hilo, Askofu Gwajima bila staha amewahi kumporomoshea matusi Askofu pengo kinyume cha staha za kiongozi wa kiroho.
Jambo la kujiuliza ni kuwa CCM, imefikiria nini hata kumleta mgombea huyu mwenye kila aina ya kashfa kuwa mgombea.
Ni dhahiri CCM hapa kwa Gwajima imebugi, tena imebugi kwelikweli
Tazama video hapa Chini Gwajima akifufua mtu:
Wewe unaaamini Tanzania kuna Vetting??? Ni ujinga mtupu!!!CCM imemteua mtu ambaye polisi walisema anaratibu kikundi cha mitandao cha kikabila kinachohamasisha wasukuma kumchagua msukuma mwenzao
Hapa kweli nimeamini nchi hii hakuna vetting!
Tunajua wewe ni msukuma Kwa iyo huna haja ya kumuhofia kwa sababu amehamasisha kampeni na vikundi vya kikabila hasa wasukuma kwenye uchaguzi huuChadema wanamhofia sana Gwajima
Utapeli wa hali ya juu na unafanywa tu kwa wasiojitambua. Pale Muhimbili vyumba vya kuhifadhia maiti hata havitoshi halafu huyu huko nje anaendesha usanii huu, si angekuwa anaenda pale kufufua?Katika haii ya kuonyesha kuwa CCM haiko serious, imetuletea wagombea magumashi, walaghai, wasaniiwasanii.
Mmoja wa wagombea feki, ni mzee wa kanyanga Gwajima. Huyu ana maskendo mengi kuanzia tuhuma za ngono zembe na kulaghai watu kuwa ana uwezo wa kufufua watu. Hapa chini ni video Gwajima akijifanya kumfufua mtu.
Ukiachilia mbali hilo, Askofu Gwajima bila staha amewahi kumporomoshea matusi Askofu pengo kinyume cha staha za kiongozi wa kiroho.
Jambo la kujiuliza ni kuwa CCM, imefikiria nini hata kumleta mgombea huyu mwenye kila aina ya kashfa kuwa mgombea.
Ni dhahiri CCM hapa kwa Gwajima imebugi, tena imebugi kwelikweli
Tazama video hapa Chini Gwajima akifufua mtu:
hapa tayari umeshapanic π€£Mbona kuna vyama vina wagombea wabobevu kwa wizi wa magari na kuskrach cd MR. DJ na mambo yanasonga.
Bado Mange Kimambi nae mtamkana akija geukia CCM.
Saizi ndio sapota wenu wa habari BONGO zenu ziwe zinatunza kumbukumbu na zisiwe vigeu geu mpigieni makofi kama mlivyokuwa mnampigia enzi za BASHITE.
Kajipa mwenyewe uaskofuIla Tapeli na mkabila aliyetukuka
Gwajima josephat aliupata wapi huo uaskofu.