CCM yateua mgombea mwenye uwezo wa kufufua wafu

!
!
ni mwendo wa kufufua makaburi tu....huyu Mdee anatakiwa kufanya ni kuunganisha clips za huyu bwana zooote za maboko halafu ni kuziplay tu katika mikutano yake.

Siasa za majitaka ni madhara makubwa kwa Halima Mdee yeye anaviporo vya kutosha vilivyo chacha. Akianzisha tuu amekwisha.
Akipita mitaani familia zina wafungia Mabinti zao kwa kumuogopa.
 

mkuu hata hii ya kujifanya anafufua wafu huoni kuwa ni ulaghai wa kiwango cha SGR?
 
Huo u-ng'ombe wa waumini wake umeupima kwa kipi? Jamani gwajiboy ahukumiwe kwa yake na sio kubeza wacha Mungu
 
Huo u-ng'ombe wa waumini wake umeupima kwa kipi? Jamani gwajiboy ahukumiwe kwa yake na sio kubeza wacha Mungu
Biblia imetagadharisha sn manabii wa uongo...... Kwa Maneno na matendo ya gwajima hapana mkuu..... Km sio u-ng'ombe huwezi kufuata aiseee
 
Biblia imetagadharisha sn manabii wa uongo...... Kwa Maneno na matendo ya gwajima hapana mkuu..... Km sio u-ng'ombe huwezi kufuata aiseee
Duuuh! sina zaidi, ila labda u-kondoo, manake n'gombe wagumu!!
 
Mtu mkabila, mdini, nabii wa uwongo, ana tuhuma za kuuza madawa ya kulevya, ana tuhuma za uzinzi lakini CCM inamteua agombee kupitia chama hicho licha ya wajumbe kumkataa. CCM haiko serious!
 
Tunajua wewe ni msukuma Kwa iyo huna haja ya kumuhofia kwa sababu amehamasisha kampeni na vikundi vya kikabila hasa wasukuma kwenye uchaguzi huu
Mi mwenyewe msukuma ila sipendi ukabila kwa kweli so mtutake radhi sio wasukuma wote tupo ccm jamani
 
mkuu hata hii ya kujifanya anafufua wafu huoni kuwa ni ulaghai wa kiwango cha SGR?
Siwezi sema Ni ulaghai au siyo ulaghai Moja kwa moja maana sifanya utafiti na Wala Sina ushahidi wa kutosha kuhukumu Wala kutohukumu.

Mambo ya kiroho nawaachia wenyewe.
 
Siwezi sema Ni ulaghai au siyo ulaghai Moja kwa moja maana sifanya utafiti na Wala Sina ushahidi wa kutosha kuhukumu Wala kutohukumu.

Mambo ya kiroho nawaachia wenyewe.

Duh!
Hata hiyo benefit of doubt unayompa ni dalili kuwa kawashika wengi
 
Hahaha mbona hawakumuita kule Lupaso au walisahau?!
 
Beach boy hawezi kwenda Bungeni pengine anatania!
 
Safari hii ka Halima lazima kavueig nguo mchana kweupe!
 
Duh...!.
Japo siungi mkono kauli hizi za Gwajima kumtukana Pengo, ila
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 

Tapeli huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…