CCM yatia neno mashamba yaliyofutwa na Rais Samia Kilosa

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
CCM YATIA NENO. MASHAMBA YALIYOFUTWA NA RAIS SAMIA KILOSA

Shaka asema uamuzi huo ni wa kihistoria, umegusa maslahi ya wananchi

Na Mwandishi Wetu Kilosa

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevunja ukimya baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuyafuta umiliki mashamba makubwa yenye ekari 23,016 katika halmshauri za wilaya za Mvomero na Kilosa mkoani Morogoro na kisha kuyagawa kwa wananchi, baada ya wawekezaji wake kushindwa kuyaendeleza.

Akizungumza wakati akizindua msimu wa kilimo kwa Mkoa wa Morogoro, wilayani Kilosa leo Oktoba 4, 2022, Shaka amesema ufutaji wa mashamba hayo haukufanywa kwa bahati mbaya au kwa kubahatisha bali ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 20202-2025.

“Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi tumezungumza vizuri sana, ukisoma Ibara ya 74 tumezungumza vizuri namna ya kuhuisha na kuboresha matumizi bora ya ardhi, lakini tumezungumza namna ya kufuta mashamba ambayo kwa muda mrefu kuna watu walijimilikisha na wakayatelekeza.

“Lakini mashamba ambayo wajanja wajanja waliamua kuyachukua kwa njia moja au nyingine ili kukwamisha shughuli za maendeleo. Bahati nzuri nimewahi kuwa Katibu wa CCM katika Mkoa wa Morogoro kwa kipindi cha miaka miwili.

“Nilipofika kwenye mkoa huu kwa kipindi cha miezi sita sikukaa ofisini nilikuwa nakuja na kurudi Kilosa asubuhi na jioni. Kazi moja kubwa ambayo niilifanya kwa ustadi mkubwa ni kupokea malalamiko ya ardhi, nadhani kwenye Mkoa wa Morogoro na hasa Kilosa ilikuwa inaongoza kwa malalamiko ya ardhi. Kesi kubwa za wilaya hii wako watu wamejimilikisha mashamba na hayaendelezwi,” amesema.

Ameongeza kuwa wako wajanja wamechukua mashamba ya wenzao lakini hakuna kinachofanyika, lakini kesi kubwa ya Kilosa ilikuwa ni namna ambavyo hakukua na mpango bora wa matumizi ya ardhi ndani ya wilaya hiyo.

“Kwa mtazamo wangu kwa sababu sisi tulifanya kazi kubwa sana na tulifanya kazi ngumu kweli kweli, kwa maoni yangu viongozi mlioko kwenye mkoa huu mmeanza vizuri,” amesema.

Shaka amesema Rais Samia tangu ameingia madarakani ameweka mkazo na msisitizo katika kilimo na ndio maana wote ni mashahidi kwani ameongeza bajeti ya kilimo kwa kiasi kubwa kutoka Sh. bilioni 294 mwaka 2021/2022 hadi sh. bilioni 954 mwaka 2022/2023.

“Hiyo haijapata kutokea tangu tumepata uhuru kwenye bajeti ya kilimo yenye fedha nyingi kama hii. Tafsiri yake tunakwenda kutafsiri kwa vitendo kilimo ndio uti wa mgongo lakini kilimo ndio mkombozi kwa maendeleo ya nchi yetu.

“Rai yangu vijana hawa lazima wawezeshwe kwa mitaji, vijana lazima wawekewe utaratibu mzuri wa kusimamiwa na tuhakikishe wanaendelea sio wanarudi nyuma,” amesema.

Ameongeza kuwa ni vema madiwani na viongozi wengine kwenye ngazi ya halmashauri kuhakikisha wanasimamia fedha zinazotolewa kwa ajili ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kwa kuhakikisha zinafika kwa walengwa.

Awali Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa akizungumza katika hafla hiyo, Rais Samia Suluhu Hassan amefuta mashamba makubwa 14 yenye ukubwa wa ekari 23,016 katika Halmashauri za Mvomero na Kilosa ili yagawiwe kwa wananchi jambo ambalo limeelezwa ni heshima kubwa kwa wananchi.

Mwasa amesema mashamba hayo yameanza kugawanywa kwa wananchi kwa mfumo wa Block Farming ili kuongeza ufanisi zaidi.
 
Attachments

  • IMG-20221004-WA0351(1).jpg
    IMG-20221004-WA0351(1).jpg
    102.3 KB · Views: 3
  • IMG-20221004-WA0355(1).jpg
    IMG-20221004-WA0355(1).jpg
    130 KB · Views: 5
  • IMG-20221004-WA0354(1).jpg
    IMG-20221004-WA0354(1).jpg
    118.4 KB · Views: 4
  • IMG-20221004-WA0356(1).jpg
    IMG-20221004-WA0356(1).jpg
    124.5 KB · Views: 3
  • IMG-20221004-WA0357(1).jpg
    IMG-20221004-WA0357(1).jpg
    108.9 KB · Views: 2
  • IMG-20221004-WA0352(1).jpg
    IMG-20221004-WA0352(1).jpg
    86.2 KB · Views: 2
  • IMG-20221004-WA0382(1).jpg
    IMG-20221004-WA0382(1).jpg
    107.7 KB · Views: 2
  • IMG-20221004-WA0353(1).jpg
    IMG-20221004-WA0353(1).jpg
    106 KB · Views: 3
  • IMG-20221004-WA0382(2).jpg
    IMG-20221004-WA0382(2).jpg
    107.7 KB · Views: 2
Shaka asema uamuzi huo ni wa kihistoria, umegusa maslahi ya wananchi

Asema CCM na watanzania wanafurahia na kujivunia utendaji bora wa Rais Samia

Na Mwandishi Wetu Kilosa

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevunja ukimya baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuyafuta umiliki mashamba makubwa yenye ekari 23,016 katika halmshauri za wilaya za Mvomero na Kilosa mkoani Morogoro na kisha kuyagawa kwa wananchi, baada ya wawekezaji wake kushindwa kuyaendeleza.

Akizungumza wakati akizindua msimu wa kilimo kwa Mkoa wa Morogoro, wilayani Kilosa leo Oktoba 4, 2022, Shaka amesema ufutaji wa mashamba hayo haukufanywa kwa bahati mbaya au kwa kubahatisha bali ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 20202-2025.

“Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi tumezungumza vizuri sana, ukisoma Ibara ya 74 tumezungumza vizuri namna ya kuhuisha na kuboresha matumizi bora ya ardhi, lakini tumezungumza namna ya kufuta mashamba ambayo kwa muda mrefu kuna watu walijimilikisha na wakayatelekeza.

“Lakini mashamba ambayo wajanja wajanja waliamua kuyachukua kwa njia moja au nyingine ili kukwamisha shughuli za maendeleo. Bahati nzuri nimewahi kuwa Katibu wa CCM katika Mkoa wa Morogoro kwa kipindi cha miaka miwili.

“Nilipofika kwenye mkoa huu kwa kipindi cha miezi sita sikukaa ofisini nilikuwa nakuja na kurudi Kilosa asubuhi na jioni. Kazi moja kubwa ambayo niilifanya kwa ustadi mkubwa ni kupokea malalamiko ya ardhi, nadhani kwenye Mkoa wa Morogoro na hasa Kilosa ilikuwa inaongoza kwa malalamiko ya ardhi. Kesi kubwa za wilaya hii wako watu wamejimilikisha mashamba na hayaendelezwi,” amesema.

Ameongeza kuwa wako wajanja wamechukua mashamba ya wenzao lakini hakuna kinachofanyika, lakini kesi kubwa ya Kilosa ilikuwa ni namna ambavyo hakukua na mpango bora wa matumizi ya ardhi ndani ya wilaya hiyo.

“Kwa mtazamo wangu kwa sababu sisi tulifanya kazi kubwa sana na tulifanya kazi ngumu kweli kweli, kwa maoni yangu viongozi mlioko kwenye mkoa huu mmeanza vizuri,” amesema.

Shaka amesema Rais Samia tangu ameingia madarakani ameweka mkazo na msisitizo katika kilimo na ndio maana wote ni mashahidi kwani ameongeza bajeti ya kilimo kwa kiasi kubwa kutoka Sh. bilioni 294 mwaka 2021/2022 hadi sh. bilioni 954 mwaka 2022/2023.

“Hiyo haijapata kutokea tangu tumepata uhuru kwenye bajeti ya kilimo yenye fedha nyingi kama hii. Tafsiri yake tunakwenda kutafsiri kwa vitendo kilimo ndio uti wa mgongo lakini kilimo ndio mkombozi kwa maendeleo ya nchi yetu.

“Rai yangu vijana hawa lazima wawezeshwe kwa mitaji, vijana lazima wawekewe utaratibu mzuri wa kusimamiwa na tuhakikishe wanaendelea sio wanarudi nyuma,” amesema.

Ameongeza kuwa ni vema madiwani na viongozi wengine kwenye ngazi ya halmashauri kuhakikisha wanasimamia fedha zinazotolewa kwa ajili ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kwa kuhakikisha zinafika kwa walengwa.

Awali Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa akizungumza katika hafla hiyo, Rais Samia Suluhu Hassan amefuta mashamba makubwa 14 yenye ukubwa wa ekari 23,016 katika Halmashauri za Mvomero na Kilosa ili yagawiwe kwa wananchi jambo ambalo limeelezwa ni heshima kubwa kwa wananchi.

Mwasa amesema mashamba hayo yameanza kugawanywa kwa wananchi kwa mfumo wa Block Farming ili kuongeza ufanisi zaidi.

#CCMImara
#KaziIendelee
IMG-20221004-WA0093.jpg
IMG-20221004-WA0091.jpg
IMG-20221004-WA0081.jpg
IMG-20221004-WA0087.jpg
IMG-20221004-WA0079.jpg
IMG-20221004-WA0075.jpg
IMG-20221004-WA0057.jpg
IMG-20221004-WA0059.jpg
IMG-20221004-WA0039.jpg
IMG-20221004-WA0095.jpg
IMG-20221004-WA0044.jpg
IMG-20221004-WA0041.jpg
IMG-20221004-WA0078.jpg
IMG-20221004-WA0073.jpg
 
Hawa watu wa ccm wamepoteza mvuto mbele ya jamii maana ni criminals.
 
CCM YATIA NENO. MASHAMBA YALIYOFUTWA NA RAIS SAMIA KILOSA

Shaka asema uamuzi huo ni wa kihistoria, umegusa maslahi ya wananchi

Na Mwandishi Wetu Kilosa

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevunja ukimya baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuyafuta umiliki mashamba makubwa yenye ekari 23,016 katika halmshauri za wilaya za Mvomero na Kilosa mkoani Morogoro na kisha kuyagawa kwa wananchi, baada ya wawekezaji wake kushindwa kuyaendeleza.

Akizungumza wakati akizindua msimu wa kilimo kwa Mkoa wa Morogoro, wilayani Kilosa leo Oktoba 4, 2022, Shaka amesema ufutaji wa mashamba hayo haukufanywa kwa bahati mbaya au kwa kubahatisha bali ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 20202-2025.

“Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi tumezungumza vizuri sana, ukisoma Ibara ya 74 tumezungumza vizuri namna ya kuhuisha na kuboresha matumizi bora ya ardhi, lakini tumezungumza namna ya kufuta mashamba ambayo kwa muda mrefu kuna watu walijimilikisha na wakayatelekeza.

“Lakini mashamba ambayo wajanja wajanja waliamua kuyachukua kwa njia moja au nyingine ili kukwamisha shughuli za maendeleo. Bahati nzuri nimewahi kuwa Katibu wa CCM katika Mkoa wa Morogoro kwa kipindi cha miaka miwili.

“Nilipofika kwenye mkoa huu kwa kipindi cha miezi sita sikukaa ofisini nilikuwa nakuja na kurudi Kilosa asubuhi na jioni. Kazi moja kubwa ambayo niilifanya kwa ustadi mkubwa ni kupokea malalamiko ya ardhi, nadhani kwenye Mkoa wa Morogoro na hasa Kilosa ilikuwa inaongoza kwa malalamiko ya ardhi. Kesi kubwa za wilaya hii wako watu wamejimilikisha mashamba na hayaendelezwi,” amesema.

Ameongeza kuwa wako wajanja wamechukua mashamba ya wenzao lakini hakuna kinachofanyika, lakini kesi kubwa ya Kilosa ilikuwa ni namna ambavyo hakukua na mpango bora wa matumizi ya ardhi ndani ya wilaya hiyo.

“Kwa mtazamo wangu kwa sababu sisi tulifanya kazi kubwa sana na tulifanya kazi ngumu kweli kweli, kwa maoni yangu viongozi mlioko kwenye mkoa huu mmeanza vizuri,” amesema.

Shaka amesema Rais Samia tangu ameingia madarakani ameweka mkazo na msisitizo katika kilimo na ndio maana wote ni mashahidi kwani ameongeza bajeti ya kilimo kwa kiasi kubwa kutoka Sh. bilioni 294 mwaka 2021/2022 hadi sh. bilioni 954 mwaka 2022/2023.

“Hiyo haijapata kutokea tangu tumepata uhuru kwenye bajeti ya kilimo yenye fedha nyingi kama hii. Tafsiri yake tunakwenda kutafsiri kwa vitendo kilimo ndio uti wa mgongo lakini kilimo ndio mkombozi kwa maendeleo ya nchi yetu.

“Rai yangu vijana hawa lazima wawezeshwe kwa mitaji, vijana lazima wawekewe utaratibu mzuri wa kusimamiwa na tuhakikishe wanaendelea sio wanarudi nyuma,” amesema.

Ameongeza kuwa ni vema madiwani na viongozi wengine kwenye ngazi ya halmashauri kuhakikisha wanasimamia fedha zinazotolewa kwa ajili ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kwa kuhakikisha zinafika kwa walengwa.

Awali Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa akizungumza katika hafla hiyo, Rais Samia Suluhu Hassan amefuta mashamba makubwa 14 yenye ukubwa wa ekari 23,016 katika Halmashauri za Mvomero na Kilosa ili yagawiwe kwa wananchi jambo ambalo limeelezwa ni heshima kubwa kwa wananchi.

Mwasa amesema mashamba hayo yameanza kugawanywa kwa wananchi kwa mfumo wa Block Farming ili kuongeza ufanisi zaidi.
Mbona yale mashamba yaliyotekelezwa pale kyaminyorwa ya Tibaijuka hayataifishwi?miaka na miaka hakuna kinachoendelezwa hata wakati tano tu na pamebaki ni pori si bora wangepewa wasukuma ikawa sehemu ya malisho pia kilimo.wahaya si wakulima ni bora eneo lile wapewe ndugu zetu wasukuma ambao wanahangaika kila kukicha kufuta maeneo ya kilimo na ufugaji na kwa kufanya hivyo huenda Kagera ingepiga hatua kiuchumi.
 
..wasukuma jifunzeni zero grazing.

..pia boresheni mifugo yenu kwa kupandisha au kununua mbego bora.

..vilevile mjifunze kupanda majani ya malisho ya mifugo.

IMG-20221004-WA0361.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amezindua msimu wa kilimo katika Mkoa wa Morogoro na kuwataka wananchi kutumia vyema fursa mbalimbali zinazotengezwa na serikali ili kujiletea maendeleo.
IMG-20221004-WA0364.jpg

Uzinduzi huo ameufanya leo katika Kituo Cha Utafiti wa Kilimo (TARI) Ilonga, kilichopo wilayani Kilosa Mkoa wa Morogoro ambapo amesema miongoni mwa fursa hizo ni pamoja na kukamilika kwa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) na kuanza kufanya kazi kwa treni ya mwendo wa haraka.

IMG-20221004-WA0370.jpg

Pia, Shaka amesema uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuyatwaa na Kuwapa Wananchi mashamba 11 yaliyokuwa mikononi mwa wawekezaji ambao kwa muda mrefu wameshindwa kuyaendeleza, ni moja ya mambo makubwa ya kupigiwa mfano na kupongezwa yaliyofanywa na Rais Samia.
IMG-20221004-WA0359.jpg

Shaka asema uamuzi huo ni wa kihistoria, umegusa maslahi ya wananchi

Akizungumza wakati akizindua msimu wa kilimo kwa Mkoa wa Morogoro, wilayani Kilosa leo Oktoba 4, 2022, Shaka amesema ufutaji wa mashamba hayo haukufanywa kwa bahati mbaya au kwa kubahatisha bali ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 20202-2025.

IMG-20221004-WA0349.jpg

“Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi tumezungumza vizuri sana, ukisoma Ibara ya 74 tumezungumza vizuri namna ya kuhuisha na kuboresha matumizi bora ya ardhi, lakini tumezungumza namna ya kufuta mashamba ambayo kwa muda mrefu kuna watu walijimilikisha na wakayatelekeza.

“Lakini mashamba ambayo wajanja wajanja waliamua kuyachukua kwa njia moja au nyingine ili kukwamisha shughuli za maendeleo. Bahati nzuri nimewahi kuwa Katibu wa CCM katika Mkoa wa Morogoro kwa kipindi cha miaka miwili.

IMG-20221004-WA0366.jpg

“Nilipofika kwenye mkoa huu kwa kipindi cha miezi sita sikukaa ofisini nilikuwa nakuja na kurudi Kilosa asubuhi na jioni. Kazi moja kubwa ambayo niilifanya kwa ustadi mkubwa ni kupokea malalamiko ya ardhi, nadhani kwenye Mkoa wa Morogoro na hasa Kilosa ilikuwa inaongoza kwa malalamiko ya ardhi. Kesi kubwa za wilaya hii wako watu wamejimilikisha mashamba na hayaendelezwi,” amesema.

Ameongeza kuwa wako wajanja wamechukua mashamba ya wenzao lakini hakuna kinachofanyika, lakini kesi kubwa ya Kilosa ilikuwa ni namna ambavyo hakukua na mpango bora wa matumizi ya ardhi ndani ya wilaya hiyo.

“Kwa mtazamo wangu kwa sababu sisi tulifanya kazi kubwa sana na tulifanya kazi ngumu kweli kweli, kwa maoni yangu viongozi mlioko kwenye mkoa huu mmeanza vizuri,” amesema.

IMG-20221004-WA0337.jpg

Shaka amesema Rais Samia tangu ameingia madarakani ameweka mkazo na msisitizo katika kilimo na ndio maana wote ni mashahidi kwani ameongeza bajeti ya kilimo kwa kiasi kubwa kutoka Sh. bilioni 294 mwaka 2021/2022 hadi sh. bilioni 954 mwaka 2022/2023.
IMG-20221004-WA0347.jpg

“Hiyo haijapata kutokea tangu tumepata uhuru kwenye bajeti ya kilimo yenye fedha nyingi kama hii. Tafsiri yake tunakwenda kutafsiri kwa vitendo kilimo ndio uti wa mgongo lakini kilimo ndio mkombozi kwa maendeleo ya nchi yetu.

“Rai yangu vijana hawa lazima wawezeshwe kwa mitaji, vijana lazima wawekewe utaratibu mzuri wa kusimamiwa na tuhakikishe wanaendelea sio wanarudi nyuma,” amesema.

Ameongeza kuwa ni vema madiwani na viongozi wengine kwenye ngazi ya halmashauri kuhakikisha wanasimamia fedha zinazotolewa kwa ajili ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kwa kuhakikisha zinafika kwa walengwa.

IMG-20221004-WA0340.jpg

Awali Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa akizungumza katika hafla hiyo, Rais Samia Suluhu Hassan amefuta mashamba makubwa 14 yenye ukubwa wa ekari 23,016 katika Halmashauri za Mvomero na Kilosa ili yagawiwe kwa wananchi jambo ambalo limeelezwa ni heshima kubwa kwa wananchi.

Mwasa amesema mashamba hayo yameanza kugawanywa kwa wananchi kwa mfumo wa Block Farming ili kuongeza ufanisi zaidi.

====
 
Mama kanyaga twende tumecheleweshwa
 
Ila maskini hawahitaj mashamba..
Uliza Zimbabwe
 
Maskini na umaskini ni mtaji Mkubwa sana wa CCM,siku wakiisha/ukiisha na wao wataisha.Kitu CCM haitataka viishe ni maskini na umaskini!
 
Bara zima la Africa watu ni Masikini japo huko haingozi CCM,

KAMA KUNA MAMBO MAZURI YANAFANYWA NA CCM LET'S APPRICIATE,
 
Shaka amekuwa mtu muhimu Sana kwa Chama na Serikali, Urais wa Zanzibar apewe tu
 
Back
Top Bottom