CCM yatoa onyo kali kwa viongozi wastaafu

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Fadhili Rajabu Maganya ambaye pia ni Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa aliye katika ziara mkoani mara ameyasema hayo huku akimnyyoshea kidole aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mara Samweli Kiboye maarufu Namba 3.
CCM Wana vichwa vigumu sana ktk kujitunza mambo. Huyu Fadhili Magaya hajui athari ya makalipio yake? Hajajifunza kwa Ally Happi?

Mambo huwa yanabadilika. Unayemuona wa nn leo, siku si nyingi utakukaa akilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…