Kilitrekkers
Member
- Nov 19, 2010
- 7
- 0
Tulishauri tukapuuzwa. 'Negative implications' tulizokuwa tunazitolea angalizo ndio hizi sasa.[/QUOTE said:ulimshauri nani?
Unafikiri CDM ni watu wa kukurupuka!
...ndoto za mchana hizo, serikali imeliona hili na watabana kote waliookuwa wamewalegezea. Sio hatia nzuri kwa wanachadema sababu Richmond hakuna Tena π
ujinga huu! pumba&&&&&&fuBahati mbaya sana kwa chadema sababu kwa kushinda majimbo zaidi ya ishirini wamejiona wako karibu sana na ushindi...ndoto za mchana hizo, serikali imeliona hili na watabana kote waliookuwa wamewalegezea. Sio hatia nzuri kwa wanachadema sababu Richmond hakuna Tena π sijui safari hii nini! Wananchi waliowachagua wanategemea wawafanyie mabadiliko na kuleta maendeleo sio vinginevyo. Na tuone mabadiliko yatatokea wapi kwa majimbo ya chadema.Afadhali Zitto awe mwenyekiti maana Chadema ni kwa maslahi ya wafanyabiashara wachaga!!!huo ndo ukweli.
Nina mashaka na aina ya ubongo ulioko ndani ya kichwa cha huyu mlevi wa ufisadi Chiligati ingawa kwa nje ana chukua umbile la binadamu. Hivi Chiligati anafahamu kwamba Bunge si mali ya kina Makinda Kikwete wala Chiligati mwenyewe? Anafahamu wabunge wa CHADEMA hawako Bungeni kwa hisani ya wezi, vibakauchumi na mapapa CCM bali ni kwa ridhaa yetu wananchi tunaowalipa wao na wa CCM?. Hebu wajaribu kuwapiga marufuku kuingia Bungeni waone moto utakavyowaka. Tutaandamana bila ya kuhitaji kibali toka kwa Mbowe wala Slaa hadi kuwaondoa ikulu na kuwapeleka wanakostahili - Mahakamani kukabiliana na mashtaka ya kuichezea demokrasia na kugeuza matakwa ya wananchi. Kwa hili hatutamwogopa Shimbo au yeyote atakayekuja kuwatetea wahaini hao. Bila shaka Chiligati ameamka na mvinyo wa jana unaomshawishi ajikombe kwa Kikwete ili "amkumbuke" katika "utukufu" wake safari hii tena.Chama Cha Mapinduzi, CCM, kinaandaa tamko na mkakati rasmi kuhusiana na kitendo cha Wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kuondoka katika ukumbi wa Bunge hapo jana wakati Rais alipokuwa akilifungua bunge hilo rasmi kwa ajili ya vikao vya awamu ya 2010 - 2015.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Kapteni mstaafu John Chiligati amekutana na waandishi wa Habari leo huko Dodoma na kusema CCM inapindana na hatua ya Wabunge wa CHADEMA kuondoka Bungeni.
Amesema kwamba chama chake kitapeleka tamko rami Bungeni ili ikiwezekana kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taraibu za Bunge, basi Wabunge wa CHADEMA waondoshwe katika ushiriki wa shughuli na vikao vyote vya Bunge hadi hapo watakapotambua kuwa aliyechaguliwa kwa asilimia nyingi zaidi katika uchaguzi uliopita ni Jakaya Mrisho Kikwete na ndiye Rais halali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Bahati mbaya sana kwa chadema sababu kwa kushinda majimbo zaidi ya ishirini wamejiona wako karibu sana na ushindi...ndoto za mchana hizo, serikali imeliona hili na watabana kote waliookuwa wamewalegezea. Sio hatia nzuri kwa wanachadema sababu Richmond hakuna Tena π sijui safari hii nini! Wananchi waliowachagua wanategemea wawafanyie mabadiliko na kuleta maendeleo sio vinginevyo. Na tuone mabadiliko yatatokea wapi kwa majimbo ya chadema.Afadhali Zitto awe mwenyekiti maana Chadema ni kwa maslahi ya wafanyabiashara wachaga!!!huo ndo ukweli.
Kufikiri kunahitaji kichwa na sio makalio, wewe hutaki kutumia kichwa. Wewe uko ulimwengu upi hata hujui kinacho endelea? kwa taarifa yako lililotokea Bungeni ni la halali na limewaumbua sana CCM na vibaraka wao kwa vile wamefedheheshwa kwa wananchi,jamii ya kimataifa hata kwa wake/waume zao majumbani. Ile move ya kisayansi hawakuitegemea kabisa.Bahati mbaya sana kwa chadema sababu kwa kushinda majimbo zaidi ya ishirini wamejiona wako karibu sana na ushindi...ndoto za mchana hizo, serikali imeliona hili na watabana kote waliookuwa wamewalegezea. Sio hatia nzuri kwa wanachadema sababu Richmond hakuna Tena π sijui safari hii nini! Wananchi waliowachagua wanategemea wawafanyie mabadiliko na kuleta maendeleo sio vinginevyo. Na tuone mabadiliko yatatokea wapi kwa majimbo ya chadema.Afadhali Zitto awe mwenyekiti maana Chadema ni kwa maslahi ya wafanyabiashara wachaga!!!huo ndo ukweli.
Ole wao!
Basi wakubali kwamba walichakachua matokeo then tufanye yafuatayo;
1.marekebisho ya katiba kikiwemo kifungu kile kitakocho tengua matokeo potofu ya uchaguzi.
2. Tuchague (sio kuteua) Tume huru ya uchaguzi ambayo itakuwa independent na iongozwe na watu watakaokuwa wazuri na wazoefu wa kufafanua vifungu vya sheria na katiba ya Nchi.
3.wasimamizi wa uchaguzi majimboni wasiwe Wakurugenzi wa wilaya kama ilivyosasa.
4. Tuchague kiongozi mkuu wa TAKUKURU na aape kuwajibika kwa masrahi ya taifa na ikithibitika kama ameenda kinyume na utendaji wa ofisi kwa kumpendelea mtu yeyote yule basi anyongwe mpaka kufa.
Eventually the NEC will declare a call for the General Election.