CCM yatoa wiki moja Walimu wote wapate vishikwambi

Ukweli ni kwamba, Vishkwambi vimeshagawiwa, lakini ni balaa tupu. Shule yenye Walimu 20 waliopata ni Walimu 4 tu. Maana yake ni kwamba, Vishkwambi 16 vimeshapigwa kama kawaida ya Serikali hii.
 
Ukweli ni kwamba, Vishkwambi vimeshagawiwa, lakini ni balaa tupu. Shule yenye Walimu 20 waliopata ni Walimu 4 tu. Maana yake ni kwamba, Vishkwambi 16 vimeshapigwa kama kawaida ya Serikali hii.
Mbaya zaidi waliopata wanawatambia wasiopata. Serikali wanazidi kutengeneza matabaka.
Walimu hawana dogo. Yaani hadi wengine wananuna!
 
Huyu mwenezi tumeletewa kisu nyie!

Sema kumsifia mke wa mtu ndiyo tatizo!
 
Siku hizi hana meno!

Amri zake nyingi watumishi wanazi PA!

Nashindwa kuelewa aina ya upole anaouvaa sasa hivi malengo yake ni yapi!

Hakuna kiongozi alikuwa akiheshimika na kuogopeka kama Majaliwa.

Amri ya walimu kugawiwa tablets ni ya kitambo sana hii na kushindwa kuitekeleza ni dharau na kuupima upepo kama unavuma kweli!
 
who is ccm? hawa ndo wamewanyonya walimu tangu uhuru, ni lini ccm waliokuwa na uchungu na walimu? utapeli ni kipaji kwa ccm
 
Wamegawa hadi Kwa madiwani,
Je madiwani ni waalimu???
 
Inawezekana kwa idadi ya waalimu vingetosha, sasa ukianza maafisa elimu wote, wakurugenzi, madiwani ndio changamoto ilipoanzia, kila afisa wa halmashauri anataka. Hivi afisa elimu kwa posho tu anazopata hawezi kununua tablet? Kenya walitoa kwa wanafunzi wote na wakafanikiwa Ila TZ sijui
 
Haya, nimeshapata tangu juzi! Asante!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…