CCM yaua stand ya mabasi ya Magufuli baada ya Magufuli kufa

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia.

Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii basi msiwe mnaleta hizi project.
 
Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kua na stand au ofisi yake popote inapojisikia.

Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana , haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii basi msiwe mnaleta hizi project, huu ni ushenzi.
Mwigulu ni mmiliki wa Mabasi. Unategemea nini?
 
Kama ndege haina rubani si inaweza kudondoka popote ,? Baharini, nchi kavu, ama milimani/mabondeni....

Ndo uhalisia
 
Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia.

Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii basi msiwe mnaleta hizi project.

Ujue tuu kuwa Mabasi yote yakilala Magufuli hapatatosha. Ile stendi haitoshi kubeba Mabasi yote.

Muhimu, magari yote yakitoka na yakija Dar yapitie Magufuli terminal
 
Acheni visingizio
 
Kwenye hili la stand, kwa kweli nitakuwa sambamba na CHAMA Cha Majambakuzi.

Kule magufuli ibaki stand ambayo watu wanapitia kukaguliwa na mambo mengine, lakini mabasi yawe na stand zao binafsi inasaidia kupunguza umbali na kuchelewa usafiri.. fikiria mkazi anaeishi KIMBIJI ili aende MBEZI magufuli hizo ni zaidi ya KM 60, kwa jiji letu hili ni kipengele, unampa mtu kazi akalale sehemu nyingine kwa gharama nyingine
 
Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia.

Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii basi msiwe mnaleta hizi project.
Stendi kutengenezwa kwa pesa nyingi sio kigezo kwamba inakidhi haja ya wasafiri, mara nyingi tu serikali huwa inakupuruka kufanya miradi isiyokidhi au kutatua mahitaji ya raia husika. Wewe sema sababu muhimu kwa nini iwe lazima bus ziingie hapo stendi ya Magufuli.
 
Yapitie Stand kisha yaende kwenye stand zao, inasaidia sana abiria kushuka kwenye maeneo hayo, na wanapoanza safari wanapanda moja kwa moja kupitia stand za basi husika, kuliko kulipa nauli mara mbili mbili.
 
Nchi gani ya ulaya ambayo aitumii bus terminals mkuu,huko ulaya ndio wapo strict hatari
Nchi nyingi tu
Screenshot_20260509-150614~2.jpg
 
Yapitie Stand kisha yaende kwenye stand zao, inasaidia sana abiria kushuka kwenye maeneo hayo, na wanapoanza safari wanapanda moja kwa moja kupitia stand za basi husika, kuliko kulipa nauli mara mbili mbili.
Gari zinazotoka au zinazoenda Arusha na Tanga kupitia Bagamoyo road zipite Magufuli stand?
 
Ujue tuu kuwa Mabasi yote yakilala Magufuli hapatatosha. Ile stendi haitoshi kubeba Mabasi yote.

Muhimu, magari yote yakitoka na yakija Dar yapitie Magufuli terminal
Hata kama magari hayalali stendi hakuna umuhimu wowote wa gari kupitia stendi kama hakuna abiria wa kuwachukua au kuwashusha hapo na kampuni imekubaliana na abiria wao kutopita stendi.
 
Watunga hizo sheria ndiyo wamiliki wa hayo mabasi. Lakini kiukweli Magufuli ni pa hovyo sana. Lijengo grand lakini ndani ujinga mtupu.
 
Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia.

Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii basi msiwe mnaleta hizi project.
Ngoja akusikie Mwigulu Nchemba atakuambie uhamie Burundi 🇧🇮
 
Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia.

Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii basi msiwe mnaleta hizi project.
acha upotosha gentleman,

ni rukhsa kua na stendi yako lakini piga ua garagaza uendepo mikoani na urudipo lazima upitie magufuli terminal.

ni marufuku kwa basi lolote la mikoani kuondoka bila kupitia magufuli terminal na ni marufuku basi lolote litokalo mkoani kuacha kupitia magufuli terminal kinyume na hivyo ni kosa kiutaratibu
 
Back
Top Bottom