CCM yaua stand ya mabasi ya Magufuli baada ya Magufuli kufa

CCM yaua stand ya mabasi ya Magufuli baada ya Magufuli kufa

Wew unataka kutupeleka kwenye ukoloni mambo ya magari kuingia stand kwa lazma ni takataka na inaonekana unamawazo primitive sana
Wakusanye Kodi basi,abria wanafika waendako shida iko wap
 
muslims wa tanzagiza hawawezi kuendesha nchi, wanapenda sana short cut, ubinafsi, nepotism na corruption, ndiyo maana kila wanachoshika wanaua, tusingekuwa nao siajabu tungeshapiga hatua kubwa sana mbele, hawaelewi what it takes to build a country, angalia zanzibar au komoro usanii na incompetency kila mahali, huku kwetu wataua kila kitu tanroads tayari wameshaimaliza, wakati tanroads ilikuwa ni success story.

sasa wamehamia kwenye elimu, wanakwenda kuua elimu yetu pia, Bungeni wanaruhusu kuongea kisomali haijawahi kutokea ...
 
Ujue tuu kuwa Mabasi yote yakilala Magufuli hapatatosha. Ile stendi haitoshi kubeba Mabasi yote.

Muhimu, magari yote yakitoka na yakija Dar yapitie Magufuli terminal
Kwanini haifanyiwi repair? Mfano zile geti za kuingilia kwenye mabasi huku chini zimekongoroka, ukienda juu kule floor ya 2 na ya 3 switch ni mbovu na kuna kunguni balaa rangi za kuta zimefubaa zimechoka zinabidi zifanyiwe repair vipo viti vibovu vibovu mule ndani vya kukalia abiria kule floor ya pili na ya 3 vimezagaa zagaa tu km dampo ndogo hivi havifanyiwi maboresho yoyote kuna sehemu ukiingia kule floor ya 2 ni km umeingia uswahilini changanyikeni, kitu ambacho nawasifu ni vyoo mule ndani ni visafi muda wote ingawa kuna haja ya huku chini pia pajengewe vyoo maeneo tofauti maana abiria wengi wageni hawajui wapi pa kwenda kujisaidia wanapowasili kutoka mikoani au wanaona uvivu kupanda kule juu kwenye vyoo maana ili uende kule lazima uzunguke wanaishia kukimbilia kwenda chini ya daraja pale chini au kwenye mitaro ile ya barabara na siku hizi wamewekwa wahuni maeneo yale wapo km panya roads na marungu yao kwa hio wanakuvizia tu ukojoe wakuvamie kwamba unachafua mazingira umekojoa haya lipa 50,000 kisha wakupore hela zako kwa lazima hawana uniform hawana vitambulisho hakuna bango hakuna tangazo lililowekwa usichafue mazingira hapa na wale SumaJKT wa huku Stendi wao wanalinda tu upande wa pili kukagua bajaj tu na bodaboda huku upande wa pili chini ya daraja wahuni wanawakaba watu wanokojoa pale chini na ndani kule pale karibu na geti la magari kutokea polisi wapo muda wote na wao hawafanyi chochote ukitokea umekabwa pale juu chini ya daraja na wale wahuni wanaojifanya wanalinda mazingira msaada pekee ni abiria wenzio kukutetea au wasamalia wema ukiwakosa hao wote na hauna hela umeisha wale wahuni watakwambi ufyeke zile nyasi zilizopo pale hicho ndicho kitu pekee wanawatishia watu wote wanaojifanya kuwakamata au la uwape hela sasa ule ni uhuni plus wizi watu wanaibiwa pale kila siku
 
Ujue tuu kuwa Mabasi yote yakilala Magufuli hapatatosha. Ile stendi haitoshi kubeba Mabasi yote.

Muhimu, magari yote yakitoka na yakija Dar yapitie Magufuli terminal

Hakuna alie kua anasema yalale magufuli, ilikua ni kupakia na kushusha magufuri kama kituo kikuu.

Japo kwa sasa naona kama imeshindikana, Sio hapo tuu njoo hata uwekezaji wa Stand kuu ya dodoma, na Soko kuu la Job ndugai dodoma.

Serikali ilifeli.
 
Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia.

Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii basi msiwe mnaleta hizi project.
Bora Stand ya Mbezi angalau fremu zina watu wa kupangisha.

Stand ya Nane nane Dom ndio imekuwa Gofu kwa upande wa fremu.

Aliyetuloga alishaondoka, tupambane na hili zimwi tuliloachiwa
 
Kama watunga sera wenyewe ndiyo wamiliki wa hayo mabasi unategemea nini?
 
Bora Stand ya Mbezi angalau fremu zina watu wa kupangisha.

Stand ya Nane nane Dom ndio imekuwa Gofu kwa upande wa fremu.

Aliyetuloga alishaondoka, tupambane na hili zimwi tuliloachiwa
Stendi kubwa zilizojengwa kwa usahihi kukidhi mahitaji ya abiria wengi bila kukurupuka ni za Msamvu Morogoro na za Mwanza.
 
Stendi kubwa zilizojengwa kwa usahihi kukidhi mahitaji ya abiria wengi bila kukurupuka ni za Msamvu Morogoro na za Mwanza.
Msamvu nakubaliana na wewe.

Mwanza bado sijafika hiyo stand, ila napajua hapo Nyegezi pako vizuri
 
Back
Top Bottom