Mwigulu ni mmiliki wa Mabasi. Unategemea nini?Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kua na stand au ofisi yake popote inapojisikia.
Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana , haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii basi msiwe mnaleta hizi project, huu ni ushenzi.
Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia.
Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii basi msiwe mnaleta hizi project.
Acheni visingizioWaungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia.
Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii basi msiwe mnaleta hizi project.
Nchi gani ya ulaya ambayo aitumii bus terminals mkuu,huko ulaya ndio wapo strict hatariWew unataka kutupeleka kwenye ukoloni mambo ya magari kuingia stand kwa lazma ni takataka na inaonekana unamawazo primitive sana
Stendi kutengenezwa kwa pesa nyingi sio kigezo kwamba inakidhi haja ya wasafiri, mara nyingi tu serikali huwa inakupuruka kufanya miradi isiyokidhi au kutatua mahitaji ya raia husika. Wewe sema sababu muhimu kwa nini iwe lazima bus ziingie hapo stendi ya Magufuli.Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia.
Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii basi msiwe mnaleta hizi project.
Nchi nyingi tuNchi gani ya ulaya ambayo aitumii bus terminals mkuu,huko ulaya ndio wapo strict hatari
Gari zinazotoka au zinazoenda Arusha na Tanga kupitia Bagamoyo road zipite Magufuli stand?Yapitie Stand kisha yaende kwenye stand zao, inasaidia sana abiria kushuka kwenye maeneo hayo, na wanapoanza safari wanapanda moja kwa moja kupitia stand za basi husika, kuliko kulipa nauli mara mbili mbili.
Hata kama magari hayalali stendi hakuna umuhimu wowote wa gari kupitia stendi kama hakuna abiria wa kuwachukua au kuwashusha hapo na kampuni imekubaliana na abiria wao kutopita stendi.Ujue tuu kuwa Mabasi yote yakilala Magufuli hapatatosha. Ile stendi haitoshi kubeba Mabasi yote.
Muhimu, magari yote yakitoka na yakija Dar yapitie Magufuli terminal
Ngoja akusikie Mwigulu Nchemba atakuambie uhamie Burundi 🇧🇮Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia.
Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii basi msiwe mnaleta hizi project.
acha upotosha gentleman,Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia.
Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii basi msiwe mnaleta hizi project.