Uchaguzi 2020 CCM yaumbuliwa na wanachama wao

Chama Cha makanikia chini ya Mhutu kimekwisha kabisa hakuna anayekitaka , yaani ushindwe kuajiri ,kuongeza mshahara, kupandisha madaraja ,kulipa wastaafu , ubomolee watu nyumba , ufukuze watu kazi hovyo kisa umelewa bangi , uteke uue ,upoteze watu ,ule hela za rambirambi za tetemeko la Kagera , uibe hela za korosho , ubambikie watu kesi , upole wake za watu , ukiuke haki za binadamu , uongezeke makato ya bodi ya mkopo , uibe 1.5 tilioni , ununue mandege used , upole pesa za watu bureau de change halafu watu wakachague ? Labda wagonjwa wa milembe.
 
Kilichowazi na ccm wanajua ni kwamba kwanza hawakushinda Zanzibar wala bara 2015 ndio maana ya rais kutangaza vita dhidi ya upinzani alipoingia tu madarakani. Chaguzi za madiwani na wabunge walionunua wote mnakumbuka ilikuwaje. Watz wanajua nn kilitokea December mwaka jana uchaguzi serikali za mitaa.....
Kimsingi na ccm wanajua hakuna
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
Wakuichagua ccm na ndio chanzo cha haya yote kulazimisha kubaki madarakani kwa nguvu ya tume km alivoahidi rais lkn pia kwa nguvu ya dola km alivyosema Bashiru
 
Duuh.. wanatisha sana hawa ccm
 
Huyu mzee kamfanya kama mama Maria nyerere. Ameanza kwa mbwembwe ameishia kunyang'anywa maiki baada ya kulipuka. Yale yale ya tumekuja kuongeza vichwa wamenilazimisha niongee na mimi sitaki
 
Ajira zipi? Kwenye mtaa wako nitajie zahanati japo moja iliyojengwa, mkoani mwako nitajie hospitali mbili zilizojengwa acha maneno matupu
 
Ajira zinatoka kila siku, hospital zinafanyakazi kila kijiji labda km Wewe sio Mzalendo
Zipi zinatoka kila siku. Unajua nyie wanaccm mnadhani na sisi watanzania tuko wajinga kama nyie. Mwaka huu hatudanganyiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…