Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Chama Cha makanikia chini ya Mhutu kimekwisha kabisa hakuna anayekitaka , yaani ushindwe kuajiri ,kuongeza mshahara, kupandisha madaraja ,kulipa wastaafu , ubomolee watu nyumba , ufukuze watu kazi hovyo kisa umelewa bangi , uteke uue ,upoteze watu ,ule hela za rambirambi za tetemeko la Kagera , uibe hela za korosho , ubambikie watu kesi , upole wake za watu , ukiuke haki za binadamu , uongezeke makato ya bodi ya mkopo , uibe 1.5 tilioni , ununue mandege used , upole pesa za watu bureau de change halafu watu wakachague ? Labda wagonjwa wa milembe.