Uchaguzi 2020 CCM yaumbuliwa na wanachama wao

Uchaguzi 2020 CCM yaumbuliwa na wanachama wao

Hiii kiki nayo itabuma kama ile ya chopa. Badala ya kusema hamna fedha ya kukodi chopa, mliamua kubadilisha gia angani na kwenda kwa campuni ile yenye chopa mkawambia waandalie rubani kizeee ili azuiliwe, halafu nyie mtengeneze kiki ya kwamba imefanyika hila. Sasa kama hiyo kampuni ya chopa wana rubani asiyekidhi vigezo, kwanini wasingewatafutia rubani mwingine? Au nyie kwa nini hamkuomba mbadilishiwe rubani? Ili muendelee na kazi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzee asije atapewa kesi ya wizi wa mifugo... ha ha ha

CCM hawanaga mshipa wa huruma!!
 
Huyu mzee asije atapewa kesi ya wizi wa mifugo... ha ha ha

CCM hawanaga mshipa wa huruma!!
Kwao so jambo la kushangaza,wengine watakuwa hata tayari kutoa ushahidi was uongo,wake ninaowaita wazalendo wasio halisi.
 
Kwao so jambo la kushangaza,wengine watakuwa hata tayari kutoa ushahidi was uongo,wake ninaowaita wazalendo wasio halisi.
Hao hawana tofauti na interahamwe
 
Mungu atamsimamia tu maana hakuna kosa alilo tenda
Yaani alichosema ni kweli, Lakini walivyo sisiem watasema kapandikizwa, mie mwenyewe siku wakipita anga zangu lazima niwaswalike maswali.
 
Yaani alichosema ni kweli, Lakini walivyo sisiem watasema kapandikizwa, mie mwenyewe siku wakipita anga zangu lazima niwaswalike maswali.
Walivyo wajanja hawawezi kukufuata wewe maana wanajua ni mjanja
 
Ha
Hakuna wakupeleka maigizo kiburi na fedhuli , dhalau na majigambo ikulu
Watanzania ndiyo watakao tupeleka ikulu baada ya kuchoshwa na unyonyaji wenu zaidi ya miaka 60 mmetutia umasikini kwa makusudi tu,
 
Back
Top Bottom