Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #121
Hiii kiki nayo itabuma kama ile ya chopa. Badala ya kusema hamna fedha ya kukodi chopa, mliamua kubadilisha gia angani na kwenda kwa campuni ile yenye chopa mkawambia waandalie rubani kizeee ili azuiliwe, halafu nyie mtengeneze kiki ya kwamba imefanyika hila. Sasa kama hiyo kampuni ya chopa wana rubani asiyekidhi vigezo, kwanini wasingewatafutia rubani mwingine? Au nyie kwa nini hamkuomba mbadilishiwe rubani? Ili muendelee na kazi??
Sent using Jamii Forums mobile app