Uchaguzi 2020 CCM yaumbuliwa na wanachama wao

Uchaguzi 2020 CCM yaumbuliwa na wanachama wao

Chadema huyo anasema ana kadi ya CCM ya mwaka 1962 mwongo miaka hiyo ilikuwepo TANU sio CCM

Chadema ndio lugha hai utasikia CCM ilikuwepo madarakani Saudi ya miaka hamsini wakihesabu kuanzia mwaka 1961 Tanzania ilipopata uhuru wakati CCM ilizaliwa 1977

Huyo mzee fix my Chadema aliyevaa nguo mtumba za CCM

Mtu wenye huyo Chadema hakuna kadi ya CCM ya mwaka 62
 
Hao ndio ccm wanajinadi kuwa wanachama 17m Watakaowapa kura!!!
Watu wameshashtuka ahadi haziliwi "Kalumekenge lazima alazimishwe kwenda shule!"
Huu ni ukombozi wa tatu kwenye siasa za mageuzi nchini Tanzania naona elimu ya uraia imeanza kuwaingia wale walio dhaniwa ni wana ccm wa maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa uchumi wa kati wamechoka chama chao😄😄
 
Chadema huyo anasema ana kadi ya CCM ya mwaka 1962 mwongo miaka hiyo ilikuwepo TANU sio CCM

Chadema ndio lugha hai utasikia CCM ilikuwepo madarakani Saudi ya miaka hamsini wakihesabu kuanzia mwaka 1961 Tanzania ilipopata uhuru wakati CCM ilizaliwa 1977

Huyo mzee fix my Chadema aliyevaa nguo mtumba za CCM

Mtu wenye huyo Chadema hakuna kadi ya CCM ya mwaka 62
TANU na CCM si ni hao hao tu kwani kuna chama kingine kilichotawala tangu 1962?
 
Mataga , CCM kijani kibichi , Chakubanga Polepole wanasema
IMG_20200828_183624.jpg
 
Hakuna CCM ya miaka ya 62 wewe hata awe kikongwe huyo mzee mjinga tu huyo

Kuna wajinga vijana na wako wazee wajinga huyo ni mzee mjinga
Kwa iyo mulimpa mike mzee mjinga sio au ndio yule alikuwa na afadhali waliobakia ndio mijinga ya kutupwa.
 
Constructive criticism ndio maana CCM inafanikiwa kuongoza mpaka sasa, mleta mada anaweza asilione hili.
 
Hiii kiki nayo itabuma kama ile ya chopa. Badala ya kusema hamna fedha ya kukodi chopa, mliamua kubadilisha gia angani na kwenda kwa campuni ile yenye chopa mkawambia waandalie rubani kizeee ili azuiliwe, halafu nyie mtengeneze kiki ya kwamba imefanyika hila. Sasa kama hiyo kampuni ya chopa wana rubani asiyekidhi vigezo, kwanini wasingewatafutia rubani mwingine? Au nyie kwa nini hamkuomba mbadilishiwe rubani? Ili muendelee na kazi??
 
Back
Top Bottom