Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Naona CCM kwa CCM wanajipongeza 🙂
Ila wanachekesha sana! Ila ipo siku yenu tu
=============
Leo, Alhamisi tarehe 07.05.2026, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (HKT) imefanya kikao chake cha kawaida jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pamoja na mambo mengine Halmashauri Kuu ilifanya tathmini ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kujadili hali ya kisiasa nchini.
Kwa kauli moja imevipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kazi kubwa ya kulinda nchi na kuhakikisha hali ya amani na utulivu inarejea haraka katika maeneo yote ya nchi yetu mara baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.