PostGE2025 CCM yavipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kazi nzuri Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Naona CCM kwa CCM wanajipongeza 🙂

Ila wanachekesha sana! Ila ipo siku yenu tu
=============
Leo, Alhamisi tarehe 07.05.2026, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (HKT) imefanya kikao chake cha kawaida jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pamoja na mambo mengine Halmashauri Kuu ilifanya tathmini ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kujadili hali ya kisiasa nchini.

Kwa kauli moja imevipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kazi kubwa ya kulinda nchi na kuhakikisha hali ya amani na utulivu inarejea haraka katika maeneo yote ya nchi yetu mara baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

​
 
Hawa Sana hang any okie a kila kukichwa! Na bado...!!!
 
Nafikiria kujivua uanachama.
CCM kuunga mkono mauaji ni kuguru.
 
TABIA YA YA WACOMUNIST WAPO TAYARI WATU WOTE WAFE WAO WAENDELEE KUTAWALA HATA MITI AU WANYAMA.NDYO CCM ILIVYO
 
Chombo ambacho kinaamini kilifanya kazi nzuri kati ya tulivyonavyo kifanye kama kinajikuna tukione.
 
Wanapongezwa kwa kuchinja Watanganyika zaidi ya 10,000. Hakika CCM ni adui wa Watanganyika.
 
Unachukua pesa yako $20 mfuko wa upande kushoto unaoweka mfuko wa upande wa kulia wenye $10 halafu baada ya hapo unazitoa zote na kujipongeza kwamba ulikua na $30 mfuko wa upande wa kulia.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…