Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Amri ya jiwe, kipengere kidogo cha ikulu.
 
Mkuu ukisema kwa kura nyingi unakosea, sema kwa nguvu za dola!
 
Siku hizi RAIA wa kawaida anatikisa chama kikubwa kama ccm, ahahaaa. Kazi ipo ukiona unajishutikia ujuwe kuna namna hauko sahihi ulipo.
 
Weka kwanza chanzo cha habari
 
CCM ijue mwenyekigoda taifa hafai. anategemea nguvu kuliko hoja. hofu ya nini.!
 
Aha aha aha aha ile Ndoto ya Mh Lema huenda ikatimia....uku mtaani tunasubiri 2020 yani #KazinaDawa
 
Tayari upepo umevuma hata waliokua wakielekea magharibi wamesahau wameungana kuelekea mashariki, upepo ukitulia wataanza kutafutana na kuulizana huku ni wapi tena! Ishikilie sana ELIMU*3
 
Hili katazo linanikumbusha ile marufuku iliyotolewa wakati ule, yaani marufuku kumuombea Lissu apone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…