CCM yawataka Wawakilishi wake kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara

Nchi ya mzinga wa nyuki wa babu kila anayejisikia anatoa amri.
 
Ni sawa! Lakini nasikitika kuwambieni nyinyi Viongozi wa Ccm hawa wabunge, madiwani na Wenyeviti wa vitongoji waliopita bila kuchaguliwa ni ngumu kuelewa hilo. Wako bize wakijiandaa na uchaguzi mwingine ndani ya ccm
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ