CCM yawavua Uongozi Wanachama wawili kutokana na kukiuka maadili ya uongozi

20240901_190016.jpg
 
Ndugu zangu watanzania,

Ukisikia na kuambiwa kuwa CCM ni chama kiongozi Barani Afrika,uwe una elewa maana yake.ujuwe ni chama kinachoendeshwa kitaasisi na chenye kuongozwa kwa misingi ya katiba ,kanuni , taratibu na miongozo mbalimbali.

Ambapo ukikiuka misingi hiyo ya kikatiba kwa maslahi yako binafsi na kwa tamaa zako binafsi ,ni lazima ichukuliwe hatua kali bila kujali cheo chako na jina lako.ndio sababu ya CCM kuendelea kutawala na kuongoza Taifa hili mpaka leo hii.kwa sababu ya kutamalaki kwa nidhamu na maadili ndani ya chama.

Sasa leo kikao cha kamati kikuu kimefanya maamuzi mazito ya kuwavua uongozi wafu watatu baada ya kubainika na kukutwa makosa mbalimbali.hilo ni onyo tu maana yake wakiendelea makosa yaliyowafanya wakavuliwa uongozi ,wanaweza kufukuzwa hata uwanachama wao ili waende huko kwa vyama vinavyoendeshwa kama Sacco's au kipofu gizani kama ilivyo CHADEMA ambako kila mtu ni kama Kambare au Beberu mwenye ndevu.
Screenshot_20240901-214501_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Mama akikufikiaa mkuu usisahau kunipaa kazi ya udereva wako ,hakikaa ntabubujikwa na machozi ya furaha.....
 
Ndugu zangu watanzania,

Ukisikia na kuambiwa kuwa CCM ni chama kiongozi Barani Afrika,uwe una elewa maana yake.ujuwe ni chama

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Upuuzi mtupu
 
Sijamuona komredi Chikulupi Kasaka kwani alionesha nia ya ubunge wa EALA...

Asikate tamaa ajipange na atapata siku nyingine [emoji7]

#Nchi Kwanza[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu watanzania,

Ukisikia na kuambiwa kuwa CCM ni chama kiongozi Barani Afrika,uwe una elewa maana yake.ujuwe ni chama kinachoendeshwa kitaasisi na chenye kuongozwa kwa misingi ya katiba ,kanuni , taratibu na miongozo mbalimbali.

Ambapo ukikiuka misingi hiyo ya kikatiba kwa maslahi yako binafsi na kwa tamaa zako binafsi ,ni lazima ichukuliwe hatua kali bila kujali cheo chako na jina lako.ndio sababu ya CCM kuendelea kutawala na kuongoza Taifa hili mpaka leo hii.kwa sababu ya kutamalaki kwa nidhamu na maadili ndani ya chama.

Sasa leo kikao cha kamati kikuu kimefanya maamuzi mazito ya kuwavua uongozi wafu watatu baada ya kubainika na kukutwa makosa mbalimbali.hilo ni onyo tu maana yake wakiendelea makosa yaliyowafanya wakavuliwa uongozi ,wanaweza kufukuzwa hata uwanachama wao ili waende huko kwa vyama vinavyoendeshwa kama Sacco's au kipofu gizani kama ilivyo CHADEMA ambako kila mtu ni kama Kambare au Beberu mwenye ndevu.View attachment 3084596

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
[emoji2956][emoji2956]

Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tu
 
Back
Top Bottom