Mchucho tiyar top 05
Ndiyo Mchujo ni tayari na Wote wawili hawa wapo katika Kikosi cha Top Five lakini kama kuna Kosa ambalo CCM watafanya ni Kumwomba Rais Mtarajiwa wa Zanzibar Profesa Makame Mbarawa amteue Dkt. Hussein Mwinyi kuwa Makamu wa Pili wa Rais huko ili tu Kumpoza Baba yake ambaye amekuwa ni Mpiga Debe mkubwa kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Mkuu wewe ulitaka iweje labda hiyo top5 tuanze hapo kwanza!
Hivi kwanini siri za ccm zinavuja kibwege sana ? Halafu hilo unalolisena halitoweza kutimia kwa vile ccm itashindwa vibaya sana kwenye uchaguzi huu
Yaani ccm ni mazwazwa kwelikweli, yaani yameanza hadi kujipangia vyeo?Hivi kwanini siri za ccm zinavuja kibwege sana ? Halafu hilo unalolisena halitoweza kutimia kwa vile ccm itashindwa vibaya sana kwenye uchaguzi huu
Ni ngumu Seif kipewa nchi japo ni mshindi siku zote.Hivi kwanini siri za ccm zinavuja kibwege sana ? Halafu hilo unalolisena halitoweza kutimia kwa vile ccm itashindwa vibaya sana kwenye uchaguzi huu
Ni Mtanzania kwa kuzaliwa lkn sera na misimamo yake katika Muungano ni tatizoKwani pia Maalim Seif Sharrif ukimfuatilia Kiundani kabisa Ndugu hasa Chimbuko lake unadhani ni Mtanzania halisi kama tulivyo Mimi na Wewe?
Yaani ccm ni mazwazwa kwelikweli, yaani yameanza hadi kujipangia vyeo?
Eti makamu wa pili sijui awe fulani, Mara hapana awe Fulani hivi wamesahau kuwa chaguzi zote huwa wanashindwa Ila ustaarabu wa Wazenji tuu ndio ulio sababisha kukubali yaishe?
Sasa safari hii ACT ya Maalim Seif sio ya kukubali yaishe!
safari hii ameamua kugawana mbaoNi ngumu Seif kipewa nchi japo ni mshindi siku zote.
Atakaebisha mapendekezo hayo atashugulikiwa mpaka achakae. Hiki sio chama tena ni genge la wahuni.Akina Mzukulu tupo pale mlipo na tutaendelea kuwepo hadi Jumapili ijayo huko Dodoma ila nimesikitishwa mno na Mapendekezo yenu ya Kiuwoga kuwa Mmekubaliana na uliokuwa pia Mtazamo wangu kuwa Profesa Makame Mbarawa awe Isles next CCM Flag bearer kwa mwaka 2020 lakini eti kwa Kumpoza Mzee Mwinyi ( Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili ) mmeamua kuwa Profesa Makame akiapishwa tu basi amteue Dkt. Hussein Mwinyi kuwa Makamu wa Pili wa Rais huko Kisiwani Zanzibar.
Nimesema kuwa mnaenda kutengeneza mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM huko Kisiwani Zanzibar kama kweli mtalazimisha Profesa Mbarawa amteue Dkt. Hussein Mwinyi kuwa Makamu wa Pili wa Rais kwani nina uhakika hata Watoto wa waliokuwa Viongozi huko Zanzibar wa akina Karume na Jumbe nao watahisi Kutengwa kama pia si Kudharauliwa hali ambayo inaweza kutengeneza Uhasama na Mpasuko mkubwa wa Kichama na Kiuongozi ambao utakithiri kabisa Chama Cha Mapinduzi huko.
Ushauri wangu Kwenu ni kwamba nimefurahi kuwa Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais ila naomba Dkt. Mwinyi asiwe Makamu wa Pili wa Rais.