Zanzibar 2020 CCM Zanzibar kama ni kweli mmependekeza iwe hivi basi mnaenda kutengeneza Makundi na Mpasuko baina yenu

Najua na nilishasema hapa mapema tu kuwa Profesa Makame Mbarawa atakuwa Mrithi wa Rais anayemaliza muda wake huko Kisiwani Zanzibar Dkt. Shein na ninamkubali na nitawasifu mno CCM wakimpitisha kwa Nguvu moja. Ila sitaki na wala sipendelei Mtoto yoyote wa waliowahi kuwa Viongozi wa Zanzibar kuanzia Karume, Jumbe na Mwinyi wawe sehemu ya Uongozi wa Juu huko. Kama Mimi ningekuwa Profesa Mbarawa nikiapishwa tu kuwa Rais basi Makamu wangu wa Pili wa Rais ningemteua Masauni. Zanzibar ya sasa inahitaji Sura mpya kabisa na zisizo na Mizizi wala Makundi ya Kifamilia.
Sasa nakuelewa. Yawezekana wewe mwenyewe ndiye Masauni au Mpiga debe wake.

Kwakuwa umekiri mwenyewe kuwa Wazanzibri hivi sasa wamechoshwa na sura zile zle basi ni wazi wanahitaji mabadiliko ya kweli ya kimfumo. Na ili yote haya yatimie ni wazi wataiweka ccm pembeni. Tutarajie mabadiliko makubwa ya kihistoria huko Visiwani kwenye Uchaguzi Ujao.
 
Raisi ni Pereira silima
 
Mkuu hata Mimi nimejiuliza swali hilo Mara nyingi lakini nimepata majibu tofauti na 2015 kurudi nyuma.

Wakati ule "uporaji" wa ushindi wa Seif ulikuwa unafanywa na wanaoijua siasa ndio maana walimuweza kwa ghiliba za kisiasa kasoro tuu 2000 Mkapa akajifanya anapora kibabe na yaliyotokea ingekuwa dunia ya Leo angenyea debe.

Sasa huyu wa sasa haijui siasa hivyo kama atapora ushindi basi ni kwa njia za Mkapa hivyo Zenji kitanuka na ataishia kunyea ndoo tuu.

Kama Kenyatta kauli tuu zilimkosa kosa tena hakuwa Rais alipotoa kauli hizo, itakuwa huyu mbabe wetu uchwara? Huyu anayeingia mitego mingi kichwakichwa?
Your argument makes sense, kwa sasa akiua watu dunia itamuandama, haitamuacha. Naanza kupata mwanga!
 
Zanzibar itachukuliwa tu na mawazir wa maji kutoka bara, kama ckosei hata shein alikuwa wazir i wa maji, sasa mrithi wake Mbarawa nae anapewa nchi.
 
Najua na nilishasema hapa mapema tu kuwa Profesa Makame Mbarawa atakuwa Mrithi wa Rais anayemaliza muda wake huko Kisiwani Zanzibar Dkt. Shein na ninamkubali na nitawasifu mno CCM wakimpitisha kwa Nguvu moja. Ila sitaki na wala sipendelei Mtoto yoyote wa waliowahi kuwa Viongozi wa Zanzibar kuanzia Karume, Jumbe na Mwinyi wawe sehemu ya Uongozi wa Juu huko. Kama Mimi ningekuwa Profesa Mbarawa nikiapishwa tu kuwa Rais basi Makamu wangu wa Pili wa Rais ningemteua Masauni. Zanzibar ya sasa inahitaji Sura mpya kabisa na zisizo na Mizizi wala Makundi ya Kifamilia.
Kwa hiyo masauni ni sura mpya ila ni masauni yuleyule au?
 
Katiba sio msaafu, wabadilishe kuwe na Maraisi watano Watu waridhike kuepusha mpasuko.
 
Kwa pointi hii nakuunga mkono. LAKINI CCM MWAKA HUU KURUDI MADARAKANI HAPA VISIWANI ZANZIBAR NI NDOTO.
Chaguzi zote inasema hivyo. Nakumbuka Mzee Seifu alivyochimba mkwara 'Komando' kwamba hatomaliza muda wake mpaka kila Mtu akakaa chonjo aone nini kitatokea....nadhani ndiye aliyesababisha jamaa kuitwa/kujiita Komandoo.
 
Sasa nakuelewa. Yawezekana wewe mwenyewe ndiye Masauni au Mpiga debe wake.

Kwakuwa umekiri mwenyewe kuwa Wazanzibri hivi sasa wamechoshwa na sura zile zle basi ni wazi wanahitaji mabadiliko ya kweli ya kimfumo. Na ili yote haya yatimie ni wazi wataiweka ccm pembeni. Tutarajie mabadiliko makubwa ya kihistoria huko Visiwani kwenye Uchaguzi Ujao.
Sio kila mabadiliko ni mabadiliko, mabadiliko ya kuacha kutumia Gari na kuanza kutumia Guta la kukokota kwa Punda si mabadiliko ni kujirudisha nyuma.
 
Mzukulu,

Najua waliopitishwa ni watano, unachoongea hakieleweki vinginevyo ujitambulishe we ni nani na unasema hayo kwa mamlaka gani.
 
Back
Top Bottom