Zanzibar 2020 CCM Zanzibar kunaanza kufuka moshi

Zanzibar 2020 CCM Zanzibar kunaanza kufuka moshi

Zanzibar mnachezea sharubu za Magufuli

Msomage alama za nyakati-Magufuli hapendi siasa za majitaka, mizengwe, rushwa na kung'ang'ania uongozi

Anaweza kuusitisha na kufuta huo mchakato mzima, akaanzisha mwingine, na kuwaondolewa sifa za kuomba tena wale waliohusika na mchakato wa awali
Unaota wewe, iacheni demokrasia iamue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kelele nyingi ila kila mmoja anajua shughuli ipo kati ya Mbawala n Mwinyi. Mbawala toka Chamwino Mwinyi toka Kisiwandui. Mwenye kuelewa atakuwa amenielewa.
Mpwa Yule si "mngoni"😂😂
Anaitwa MBARAWA....
 
mpaka mchakato ukamilike tutasikia mengi.

Ila mnavyoparurana ndivyo mnavyotupa nafasi sisi wananchi kuwafahamu vyema viongozi wetu.
 
Ulivoandika Heading nikategemea kukuta maccm yanayotaka ugali wa wazanzibar yanatafunana yenyewe, Kumbe Ni wewe umekuja kuyasema maccm menzako😂😂😂😂.anyway, vipi jecha nae mwanachama wenu toka 80's, Ana makando Kando gani ukiacha tunayoyajua?
 
Tupo bega kwa bega na mkoa wetu ZANZIBAR hadi tujue mwisho wake.
Akutukanae....yaani watu wana rais, bendera, BARAZA la WAWAKILISHI, wimbo wa taifa, vikosi vya majeshi chini ya mh.Shein,Leo unawaita mkoa salalee ndo Mana SPIKA mh. Ndugai anachukizwa Sana na watu wasio na lugha za staha kwa wengine.....
Aya mdomo Mali yako!!
 
Utukufu ni wa Allah tu si mavamizi

Ha ha ha ha unaamua kujificha katika tawhid eeee?tuyaache hayo mazito.....kwa hyo unasema kuwa chama CHETU CCM ni mavamizi kuiongoza Zanzibar?!!!

Kwako mapinduzi ya 64 ni uhaini kwa umma wa wastaarabu wa Zanzibar?!!
 
Havana hoja zako zinashabihiana na ukweli sheikh.

Lakini Kati ya watu hao lazima MWINYI AWE KIDEDEA. Je ataweza kukabiliana na mfumo uliomshinda shein?
 
Hana ubavu huo
Zanzibar mnachezea sharubu za Magufuli.

Msomage alama za nyakati-Magufuli hapendi siasa za majitaka, mizengwe, rushwa na kung'ang'ania uongozi

Anaweza kuusitisha na kufuta huo mchakato mzima, akaanzisha mwingine, na kuwaondolewa sifa za kuomba tena wale waliohusika na mchakato wa awali
 
Back
Top Bottom