Zanzibar 2020 CCM Zanzibar kunaanza kufuka moshi

Zanzibar 2020 CCM Zanzibar kunaanza kufuka moshi

Mada yako nimeona umejaa chuki na majungu tu kusema vitu visivyo na ushahidi ikiwa ni muendelezo wa siasa za kimaskini za maji taka na kuchafuana!!ona sasa ninavyoihamisha direction hapa chini!!

Jecha ni chaguo letu wabara! ndie afaa kuwa rais kwa uzoefu, hekima na busara yuko nazo japo washamba waliojazana visiwani mnamzingua pliz enyi wazenji mliojaa damu ya ubaguzi mjazieni Jecha form zake za udhamini, ni mtu jasiri kuliko wote na mwenye akili kuliko wote Zenji...
Kwi kwi kwi kwi loooh WATU WENGINE banaaaa🤣🤣🤣
 
Mimi kundi langu ni wapiga kura wanyonge wanaodhulumiwa siku zote. Wananchi watayemchagua huyo ndiye nitayemuunga mkono

Salaam Arbab!

Hivi wewe ni mwenzetu wa "upande" wa Kisiwandui ama ndio wale wanaohamahama vyama na Ashaikhul Muadhama Arbaab Maalim Seif?!

Hasta la Victoria CCM
 
Salaam Arbab!

Hivi wewe ni mwenzetu wa "upande" wa Kisiwandui ama ndio wale wanaohamahama vyama na Ashaikhul Muadhama Arbaab Maalim Seif?!!!

Hasta la Victoria CCM

Mimi ni Mzanzibari mpenda haki na ukweli. Kisiwandui imekuja na itaondoka kama vyama vyengine lakini Zanzibar itabaki
 
Mimi ni Mzanzibari mpenda haki na ukweli. Kisiwandui imekuja na itaondoka kama vyama vyengine lakini Zanzibar itabaki

Oooo naanza kuyanusa marashi yako.....
Kidogokidogo tu Allah atatuletea SAKINA YA KUKUJUA...KUYAJUA MALENGO YA CHAPISHO LAKO ha ha ha
 
Usitupotezee muda wako hapa tafadhali Rais wa Zanzibar tunajua kama siyo Makame Mbarawa basi atakuwa ni Mkongwe Shamsi Vuai Nahodha.

Nahodha ndio sufuri ni msindikizaji tu na mchumia tumbo. Scandal zake zikianikwa utatapika
 
Oooo naanza kuyanusa marashi yako.....
Kidogokidogo tu Allah atatuletea SAKINA YA KUKUJUA...KUYAJUA MALENGO YA CHAPISHO LAKO ha ha ha

Malengo yangu ni kuwepo haki , ukweli, na ustawi wa jamii , Zanzibar imegeuzwa hell on earth
 
Acha kumtisha mzalendo Nahodha,acha kumsiliba nnya JEMBE letu la zamani kutoka Makunduchi ya Mwakakogwa,huna ulijualo lolote dhidi yake😂😂😂

Nahodha ndio sufuri ni msindikizaji tu nachumia tumbo. Scandal zake zikianikwa utatapika
 
Acha kumtisha mzalendo Nahodha,acha kumsiliba nnya JEMBE letu la zamani kutoka Makunduchi ya Mwakakogwa,huna ulijualo lolote dhidi yake😂😂😂

Hakuna hata siri kila mtu anajua kabla hajawa waziri kiongozi alikuwa vipi na baada ya miezi isiyofika mitatu kafanya nini. Unguja ni ndogo hata ukijamba harufu kila mtu anaisikia
 
Malengo yangu ni kuwepo haki , ukweli, na ustawi wa jamii , Zanzibar imegeuzwa hell on earth
Unamaanisha kuwa wanachama wenzetu wa CCM upande huo ni mchwa na kupe wasioendana na kasi ya JPM?!!
We si bure utakuwa ni kijana wa Maalim Seif na msaidizi wa Mjanjajanja Zitto Kabwe 😂😂
 
Unamaanisha kuwa wanachama wenzetu wa CCM upande huo ni mchwa na kupe wasioendana na kasi ya JPM?!!
We si bure utakuwa ni kijana wa Maalim Seif na msaidizi wa Mjanja Mjanja Zitto Kabwe 😂😂

Haki ya kusema utakalo unayo, hajakukataza mtu
 
Hakuna hata siri kila mtu anajua kabla hajawa waziri kiongozi alikuwa vipi na baada ya miezi isiyofika mitatu kafanya nini. Unguja ni ndogo hata ukijamba harufu kila mtu anaisikia

Acha zako buanaa,sasa km alipoingia hyo miezi 3 aliamua kukopa Benki,dhamana MSHAHARA wake,we utajua?!!!

Sasa maskini Shamsi ana ukwasi gani?!!!daaah siasa hz
 
Acha zako buanaa,sasa km alipoingia hyo miezi 3 aliamua kukopa Benki,dhamana MSHAHARA wake,we utajua?!!!

Sasa maskini Shamsi ana ukwasi gani?!!!daaah siasa hz

Shukrani kwa kuandika neno kama

Bank itathibitisha hilo ulisemalo
 
Mimi ni Mzanzibari mpenda haki na ukweli. Kisiwandui imekuja na itaondoka kama vyama vyengine lakini Zanzibar itabaki

Kisiwandui inayalinda mapinduzi matukufu,sasa ITAONDOKAJE?
 
Back
Top Bottom