Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Kwi kwi kwi kwi loooh WATU WENGINE banaaaa🤣🤣🤣Mada yako nimeona umejaa chuki na majungu tu kusema vitu visivyo na ushahidi ikiwa ni muendelezo wa siasa za kimaskini za maji taka na kuchafuana!!ona sasa ninavyoihamisha direction hapa chini!!
Jecha ni chaguo letu wabara! ndie afaa kuwa rais kwa uzoefu, hekima na busara yuko nazo japo washamba waliojazana visiwani mnamzingua pliz enyi wazenji mliojaa damu ya ubaguzi mjazieni Jecha form zake za udhamini, ni mtu jasiri kuliko wote na mwenye akili kuliko wote Zenji...