Zanzibar 2020 CCM Zanzibar kunaanza kufuka moshi

Lazima mfumo ukukubali. Hulka na silka pia.

Malezi. Aliongea salmini Amour uraisi sio asali kila mtu anaiweza kuonja.

Mfumo unamkubali Dr Hussein Ally Hassan Mwind M.D
 
Ha ha ha ha unaamua kujificha katika tawhid eeee?tuyaache hayo mazito.....kwa hyo unasema kuwa chama CHETU CCM ni mavamizi kuiongoza Zanzibar?!!!

Kwako mapinduzi ya 64 ni uhaini kwa umma wa wastaarabu wa Zanzibar?!!

Si uhaini ni mavamizi
 
.....mapinduzi yoyote Yale na popote pale yanakuwa ni uvamizi YAKISHINDWA KUFANIKISHWA....
Ya 64 yalifanikiwa,je unasemaje KUHUSU hilo?

Adhabu ya kaburi aijuaye ni maiti, mzigo wa mwenzako kwako ni ganda la usufi,
 
Lazima mfumo ukukubali. Hulka na silka pia.

Malezi. Aliongea salmini Amour uraisi sio asali kila mtu anaiweza kuonja.

Mfumo unamkubali Dr Hussein Ally Hassan Mwind M.D

Kule kwao Mkuranga hawamtaki hata aje kuwekwa Zanzibar ???
 
Mleta mada Gavana huna lolote zaidi ya wivu na husda. Rais wa Zanzibar ameshateuliwa Bara tayari huko tunakuja mtangaza tuuu. Mkoa hauwezi chagua Rais wewe. Ongezeni povuuu!!!
 
Mleta mada Gavana huna lolote zaidi ya wivu na husda. Rais wa Zanzibar ameshateuliwa Bara tayari huko tunakuja mtangaza tuuu. Mkoa hauwezi chagua Rais wewe. Ongezeni povuuu!!!

Wivu zaidi ya fisi ??
Fisi leo ana mada ? 😛😛😛😛
 
Fitna, majungu, uzandiki na kuzushiana hakuwezi kuwafikisha popote wazanzibar! Cha msingi msichafuane kwa lengo la kuitamani ikulu! Rais wa Zanzibar Mungu anamjua!
 
Mie nikiangalia ccm walivyosema kwa povu kwamba lowasa ni fisadi na watamshtaki mara baada ya kuingia awamu ya tano, halafu nikiangalia walivyompokea kwa mbwembwe alivyotoka chadema, nakosa imani kwa chochote wanachoongelea kuhusu kutokomeza ufisadi Zanzibar.
Ufisadi na rushwa na uhujumu uchumi bado VIPO bara na visiwani
 
Usitupotezee muda wako hapa tafadhali Rais wa Zanzibar tunajua kama siyo Makame Mbarawa basi atakuwa ni Mkongwe Shamsi Vuai Nahodha.

Binafsi nilitegemea Makamu wa Rais Mh.Suluhu Hassan angechukua form ya kuwania Urais, lakini naona Kimya!!
 
Binafsi nilitegemea Makamu wa Rais Mh.Suluhu Hassan angechukua form ya kuwania Urais, lakini naona Kimya!!

Mama Samia Suluhu Hassan ndiyo Turufu ya Rais Dkt. Magufuli katika Kupata Kura nyingi za Wanawake ambao pia ndiyo Wapigaji Kura wakubwa.
 
Mbarawa ndie raisi ajae wa Znz, Mwinyi atatulizwa ili 2025 ndie raisi wa muungano. Nime-bet tu wajamani.
 
Wacha Demokrasia Ichukue Mkondo wake
 
Hoja yako ni nini hasa?

Kati ya Mwinyi, Mbarawa na Masauni wewe upo timu gani?
Masauni umri bado
Mbarawa ana mapungufu mengi Sana
Mwinyi anabebwa kwakua mtoto wa raisi mstaaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…