Zanzibar 2020 CCM Zanzibar yakaribisha wanaccm kuchukua fomu za Urais, yasema uteuzi utafanyika Dodoma siyo Unguja

Zanzibar 2020 CCM Zanzibar yakaribisha wanaccm kuchukua fomu za Urais, yasema uteuzi utafanyika Dodoma siyo Unguja

"BADO TUNAENDELEZA SERA YA AFRO-SHIRAZ PARTY" BALOZI SEIF ALI IDDI

Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mh. Balozi Seif Ali Iddi asisitiza mambo yaliyopelekea mapinduzi matukufu kufanyika ili usawa uwepo bado yanatakiwa kuenziwa na kuwa bora zaidi mfano mara baada ya Mapinduzi kulitolewa tamko na kufanywa sera ya elimu na huduma za afya kuwa bure bila malipo. Hivyo mambo hayo lazima yalindwe ili wananchi wote wanufaike bila ubaguzi.



Biography of Ambassador Seif Ali Iddi
1989 - 1993
Netherlands, The Hague
Ambassador
1993 - 1999
China, Beijing
Ambassador

Seif Ali Iddi (born 23 February 1942) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kitope constituency since 2000
H.E Seif Ali Iddi Ambassador of the United Republic of Tanzania in The Hague, Netherlands who is also accredited to Organisation for the Prohibition of Chemical Weapons (OPCW),
International Criminal Court (ICC), Common Fund for Commodities (CFC), and International Court of Justice
Education
  • Kinyasini Primary School Primary Education 1949 - 1956
  • Beit el Ras - Secondary Education 1957 - 1958
  • Beit el Ras - Secondary Education 1959 - 1962
  • Nkurumah College - Diploma in Education Jan 1963 - Dec 1964 Diploma
  • Australia National University - International Relation and Diplomacy 1973 – 1976 Advance Diploma
Employment History
  • SMZ – Teacher 1965 - 1968
  • SMZ – Foreign Service Officer (Cairo) 1968 - 1971
  • Foreign Service Officer 1971 - 1973
  • Studies 1973 - 1976
  • Secretary/Counselor and Head of Chancery, Tanzania Embassy, People’s Republic of China 1976 - 1980
  • Minister Counselor and Head of Section, Asia Sub-Continent, Ministry of Foreign Affairs, Dar es Salaam 1981 - 1984
  • Deputy High Commissioner and Head of Chancery, Tanzania High Commission, Republic of Kenya. 1984 - 1989
  • Delegated to the World Conference to Review and Appraise the Achievements of United Nation Decade for Women, Nairobi. 1985
  • Tanzania Ambassador to the Netherlands. 1989 - 1993
  • Tanzania Ambassador to the People’s Republic of China. 1993 - 1999
  • Director, Department of Foreign Affairs, Zanzibar. 1999 - 2000
  • Deputy Secretary General of CCM, Zanzibar. 2000 - 2002
  • Member of Parliament of Kitope Constituency and Deputy Minister Foreign Affairs and International Cooperation. 2005 - 2010
  • Member of Parliament of Kitope Constituency,
  • Member of the House of Representatives and Second Vice President of Zanzibar.
April 2015 toka maktaba online
Hotuba ya Balozi Seif Ali Iddi jimboni Kiembe Samaki Zanzibar mwezi April 2015
 
June 17, 2020
Kisiwandui Afisi Kuu ya CCM
Unguja, Zanzibar

Dr. Hussein Ali Mwinyi achukua fomu ya kutia nia Urais SMZ



Mwanachama wa CCM Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi , akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuchukuwa fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi hiyo kupitia CCM.


WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk.Hussein Mwinyi amechukua fomu ya kugombea urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Dk.Mwinyi ambaye ni mtoto wa pili wa Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi amechukua fomu hiyo leo Juni 17,mwaka 2020 katika ofisi za CCM Zanzibar huku akiomba radhi kwa waandishi wa habari baada ya kueleza kuwa hajajiandaa kuzungumza na vyombo vya habari kwasababu lengo lake ilikua ni kuchukua fomu ya kugombea urais tu.

Akizungumza baada ya kuchukua fomu hiyo Dk.Mwinyi amesema kuwa "Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia uzima na afya njema.Nimekuja kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar.Pili nakishukuru Chama changu kwa demokrasi ya hali ya juu ndani ya chama inayomhusu kila mwanachama kugombea nafasi anayoitaka, hivyo nashukukuru kwa hilo.

"Niombe radhi leo sikuja kuzungumza na waandishi, nimekuja kuchukua fomu na tayari nimeshaichukua.Hivyo narudi kwenda kuangalia matakwa yanayotakiwa kwenye fomu hii ili niweze kuijaza na hatimaye nirudishe kabla ya muda kwisha.Mazungumzo yatakuwepo wakati mwingine, wakati muafaka, wala sina la kuzungumza maana hata yaliyoko kwenye fomu sijayajua, hivyo mtaniwia radhi, sitakuwa na mengi zaidi ya hayo,"amesema Dk.Mwinyi
 
June 15, 2020
Kisiwandui, Afisi Kuu ya CCM
Unguja, Zanzibar

Balozi Ali Abeid Amani Karume pia amechukua fomu siku ya jumatatu Juni 15 2020 mjini Unguja Zanzibar Tanzania
 
MBWANA YAHYA MWINYI AKICHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS - 17.06.2020



Yahya Mwinyi ajitosa kuwania nafasi ya Urais Zanzibar 2020.

mwinyi%20leo.JPG

Pichani: Mbwana Yahya Mwinyi akiwa ametulia akisubiri fomu ya kutia nia.

Zoezi za kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) limeendelea ambapo Mzanzibar mwingine Mbwana Yahya Mwinyi amefika katika ofisi za chama hicho Kisiwandui mjini Unguja na kuchukua fomu hizo kwa lengo la kuwania nafasi hiyo.

Sera zake anazonadi apongeza demokrasia ndani ya CCM Zanzibar ikiwemo kutoa nafasi kwa wanaCCM Zanzibar kugombea urais. Kulinda na kuutetea Muungano wa Tanzania na pia kuitekeleza ilani ya CCM kwa nguvu zote.

Sifa wasifu qualification wa Mbwana Yahya Mwinyi : elimu shule ya msingi 1994 kujiunga sekondari 2001, Sekondari Advance level form VI 2006 halafu IFM Dar es Salaam post Graduate diploma na kumalizia masters hCoventry University .

Kada wa CCM Mbwana Yahya Mwinyi anakuwa mwanachama wa tatu kupitia chama hicho kujitokeza kuchukua fomu hizo tangu kuanza kwa zoezi hilo siku mbili zilizopita.

CCM ilifungua milango kwa wanaoomba nafasi ya uteuzi kwa nafasi ya Urais wa Jamhuri na Zanzbar kuanza kuchukua fomu na kutafuta wadhamini ambapo mwisho ni June 30.
 
Omari Sheha Mussa achukua fomu urais Zanzibar 2020

Omari Sheha Mussa miaka (65) ambapo mara baada ya kuchukua fomu aliahidi kuleta mabadiliko makubwa kuongeza pato la taifa.

Omari Sheha Mussa alisema kwamba pindi chama chake kitampitisha na kuwa mgombea wa nafasi hiyo ya urais na kupata ridhaa ya wananchi kuongoza Zanzibar atainua uchumiwa kwa lengo la kuongeza mapatoya Serikali na pato la Taifa (GDP) na kughuisha maisha ya Wananchi wa Zanzibar kwa ujumla.


Naahidi pindipo wananchi wa Zanzibar, Chama change kitanipisha na kunipa ridhaa ya kuwa mgombea na wananchi wa Zanzibar kunipa ridhaa ya kuongoza Unguja na Pemba nitaongeza mapato ya Taifa ambayo yatatokana na biashara na utalii alisema Omari Mussa Sheha.



Aliongeza kusema kwamba anaahidi kuinua Biashara ya Mafuta safi na ghafi pamoja na kujenga miundombinu ya kuwezesha biashara hiyo.

“Hii inatokana kwamba nitajenga Bandari ya Mafuta na Gesi katika maeneo ambayo yalikwisha teuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mfano Eneo la Mangapwani Unguja na maeneo mengine ya Pemba” alisema Omari Sheha Mussa.

Omari Sheha Mussa ni nani ? Wasifu : Mzanzibari, Degree UDSM 1977 Management & Administration, Masters Degree 1986 Finance Uingereza, Kazi Peoples Bank of Zanzibar 1974 , 1983 Mkurugenzi wa Bajeti SMZ, Kamishna wa Bajeti SMZ, Katibu Mkuu serikali ya SMZ kuanzia 1990 , Kamishna Tume ya Mabadiliko ya Katiba 2012 , mbunge Zanzibar 2010, Mbunge wa Africa Bunge la Afrika. Mjumbe Bodi mbalimbali kama Bank of Tanzania, Tanzania Revenue Authority ,
 
June 17, 2020

Dkt. HUSSEIN MWINYI AGOMA KUONGEA NA WAANDISHI BAADA YA KUCHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR 2020

 
Alivyowafanyia watumishi hakika Mungu yupo.Miaka yote 5 ni kapa huku wakidhalilika kwa hali ngumu ya maisha huko mtaani.Poleni walimu,madaktari,wauguzi etc
 
Juni 18, 2020
Afisi Kuu Kisiwandui
Unguja, Zanzibar

Shamsi Vuai Nahodha achukua fomu kutia nia abebe bendera ya CCM kugombea Urais SMZ 2020

 
Juni 18, 2020
Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Unguja, Zanzibar
Tanzania

Wasifu wa mtia nia Urais SMZ 2020

Balozi Major General (retired) Issa Suleiman Nassor achukua fomu kutia nia Urais SMZ 2020

Hili ni jina geni katika masikio ya wengi panapohusika siasa za Tanzania, lakini sio geni katika uwanja wa kijeshi. Major General Issa S. Nassor alifikia ngazi ya Mkuu wa Mafunzo na Operesheni wa JWTZ (Head of training and operations of the Tanzania People’s Defence Forces TPDF)

Jenerali Nassor amelitumikia Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa miaka mingi kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi nchini Misri kutoka mwaka 2017 hadi 2019. Makao yake yakiwa Cairo, Misri huku pia akiiwakilisha Tanzania katika nchi za Lebanon, Palestine, Libya, Iraq, Syria na Jordan. Major General Issa Suleiman Nassoro aliwahi pia kuhudumu ktk Ubalozi wa Tanzania nchini India kama Defence Attache ubalozini kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi wetu nchini Egypt (2017-2019).

Picha toka maktaba:
Oktoba 5, 2017.

Baada ya kuapishwa kwa Balozi wa Misri H.E. Major General Mstaafu Issa Suleiman Nassor, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Rais John Pombe Joseph Magufuli na Mkuu wa Majeshi General Venace Mabeyo, Ikulu Dar es Salaam 05 October 2017.

Japo si jina kubwa katika siasa, duru visiwani Zanzibar zinamuelezea kama mtu asiye na mafungamano na siasa za makundi.

Naye anatajwa kubebwa na karata ya utiifu wake lakini hana umaarufu katika siasa za Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.

Hatima ya nafasi yake ikiwa ataingia katika kinyang'anyiro itaamuliwa na CCM yenyewe.
 
Juni 18, 2020
Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Unguja, Zanzibar
Tanzania

Balozi Major General (retired) Issa Suleiman Nassor achukua fomu kutia nia Urais SMZ 2020

 
Juni 21, 2020
Unguja, Zanzibar
Tanzania

ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR AMEJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YA URAIS WA ZNZ


Dk. Khalid Salum Mohammed :

GENERAL INFORMATIONS
SalutationHonorable
Member picture
MH.KHALID-S.MOHAMMED.jpg
Last NameMohamed
Middle Name:Salum
First Name:Dr. Khalid
Date of Birth:05-10-1961
Member Type:Elected
Constituency:Donge
Political Party:CCM
Office Location-
Telephone Number:-
Mobile Number:+255 777 - 488330
Office Email:-
Personal Email:khasamak@yahoo.co.uk
Year Started:2016
Terms:First

School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
EDUCATION
Donge Primary SchoolPrimary Education19671973Primary
Donge Secondary SchoolSecondary Education19741976Secondary
Fiedel Castro Secondary SchoolSecondary Education19771977Secondary
Naliendele Agriculture and Research InstituteCertificate in Agriculture19781980Certificate
Mlingaro Agricultural Research InstituteDiploma--Diploma
Sokoine UniversityBSc. in Agriculture19901993Degree
University of Reading (UK)Master in Agriculture19941995Master

Institution /Company
Position
From Date
End Date
EMPLOYMENT HISTORY
Ministry of Labor, ZanzibarGeneral Secretary.20062008
Ministry of Agriculture and InfrastructureGeneral Secretary.20082010
Second Vice President OfficeGeneral Secretary.20102015
Ministry of Finance and Planning, ZanzibarMinister2016To date
Zanzibar House of RepresentativesMember2016To Date
 
June 21, 2020
Afisi Kuu Kisiwandui
Unguja Zanzibar
Tanzania

Hussein Ibrahim Makungu achukua fomu ya Urais SMZ 2020

Hussein Ibrahim Makungu achukua fomu kutia nia Urais SMZ 2020. Hussein Ibrahim Makungu ni mtoto wa mmoja wa waasisi wa Mapinduzi matukufu ya 1964 Zanzibar , mzee wake ni Ibrahim Makungu.

Kada wa Chama cha Mapinduzi Mwakilishi wa Jimbo la Mtoni Zanzibar Mhe Hussein Ibrahim Makungu akiomba dua katika kaburi la Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibare Marehemu Mzee Abeid Amani Karume mara baada ya kuchukua Fomu ya Kogembea Urais wa Zanzibar. Hafla hiyo imefanyika leo katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.Akiwa Mwanachama wa CCM 21 kuchukua Fomu ya Urais kupitia CCM source : BHAA Mwakilishi wa Jimbo la Mtoni Mhe Hussein Ibrahim Makungu Ajitosa Kinyanganyiro cha Kuwania Urais wa Zanzibar Akiwa Mwanachama wa 21 Kuchukua Fomu ya Urais CCM.

GENERAL INFORMATIONS
Salutation:Honourable
Member picture
Mhe.Hussein-Ibrahim-Makungu.jpg
Last Name:Makungu
Middle Name:Ibrahim
First Name:Hussein
Date of Birth:10th October 1973
Member Type:Elected
Constituency:Bububu
Political Party:CCM
Office Location-
Telephone Number:-
Mobile Number:+255777410208
Office Email:-
Personal Email:info@bhaastylezanzibar.com
Year Started:2012 To date
Terms:Second

School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
EDUCATION
Tumekuja Primary SchoolPrimary Education19611968Primary
Haile Selasie Sec SchoolSecondary Education19901992Secondary

Institution /Company
Position
From Date
End Date
EMPLOYMENT HISTORY
BusinessDirector1993To date

Political Party /Location
Position
From Date
End Date
POLITICAL EXPERIENCE
CCMChairman7/6/2002To date
CCMMember of the House of Representatives2012To date
 
Juni 21, 2020
Afisi ya CCM Kisiwandui
Unguja, Zanzibar
Tanzania

Rashid Ali Juma achukua fomu urais 2020 SMZ
Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma amekuwa Mgombea wa 16 kujitokeza kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar.

Hafla iliyofanyika katika ofisi kuu za Chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui Mjini Zanzibar

Capture-109.jpg

Rashid Ali Juma , Former minister Ministry of Information, Tourism, Culture and Sports, Zanzibar://www.zanzibarassembly.go.tz/new-members-cv/hon.rashid-ali-juma.php


GENERAL INFORMATIONS
SalutationHonorable
Member picture
MH.RASHID-A.JUMA.jpg
Last NameJuma
Middle Name:Ali
First Name:Rashid
Date of Birth:-
Member Type:Elected
Constituency:Amani
Political Party:CCM
Office Location-
Telephone Number:-
Mobile Number:+255 411892
Office Email:-
Personal Email:-
Year Started:2016
Terms:First

School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
EDUCATION
Uroa Primary SchoolPrimary Education19701981Primary
Vikokotoni Secondary SchoolSecondary Education19821982O - Level
Lumumba Secondary SchoolSecondary Education--O - Level
NkrumahCertificate19831985Certificate
NkrumahDiploma19891991Diploma
UDSMDegree (Bsc. Education)19921996Degree
Africa University ZimbabwePost Graduate (MBA - Finance)--Master
UDSMPost Graduate (Marla - Taxation)20122013Master

Institution /Company
Position
From Date
End Date
EMPLOYMENT HISTORY
Ministry of Education, ZanzibarTeacher19851996
Ministry of Finance, ZanzibarTax Officer19961998
ZRBSenior Officer (M/E/K)19982009
Zanzibar Manicipal CouncilDirector20092012
Ministry of Information, Tourism, Culture and Sports, ZanzibarMinister2016To date

Political Party /Location
Position
From Date
End Date
POLITICAL EXPERIENCE
CCMBoard of Directors20152018
CCMNEC Member20122017
CCMMember of the Regional Political Committee20122017
CCMMember of the House of Representatives Zanzibar2016To date
 

30 August 2018

12 Mnatafuta Urais Zanzibar! Katibu Mkuu Wa CCM, Dkt Bashiru Ally

Amesema Anawajua Wanasiasa na Baadhi ya wanachama Wa CCM Zanzibar Wanaozunguka Zunguka Kabla Ya Muda Kuwania Kiti Cha Urais Wa Zanzibar.
Source : Global TV online
 
Back
Top Bottom