CCM Zanzibar yamfuta uanachama Balozi Ali Karume

Itakuwq rahisi sana kwa Karume kuchukua urais maana ni wazi CCM huwa hawashindi zaidi ya ujanjaujanja tu.
 
Ugomvi wa familia zenye nguvu za kisiasa ndani ya CCM Zanzibar, ambao wote wanataka uongozi. CHADEMA wakae kimya wamwandae mtu wao, wasimtegemee huyo.
 
Kwani hapo ndio wamemzuia kuongea?wajipange tu kujibu makombora,ila Lichama linaelekea ukingoni hili
 
Hata wenye CCM nao wanafukuzwa kisa eti kumkosoa kiranja mkuu huko Zanzibar, bila shaka hili jambo lina mkono wa walamba asali ana timu yao, tunataka hata huku bara vigogo wa CCM waiseme serikali yao kuhusu DP World. Kama balozi karume anaisemea Zanzibar kuuza visiwa vyake, je mimi ni nani hadi nisiseme kuhusu kuuzwa bandari `zetu? Nasubiri nimsikie mtoto wa kaka yake akikoroma kumhusu baba yake, hiyo ndio CCM, halafu mkoa wa Kusini Unguja ndio mkoa mama.
 
Dr Slaa si mwanachama wa CCM, huko alikuwa kabla hajajiunga na Chadema kwa mara ya kwanza, kuteuliwa kuwa balozi hakukufanyi uwe mwanachama wa CCM, inagawa unatakiwa kutekeleza sera za CCM!
 
Itakuwq rahisi sana kwa Karume kuchukua urais maana ni wazi CCM huwa hawashindi zaidi ya ujanjaujanja tu.
View attachment 2682079
Tutawaliwe tena na akina Karume? HAPANA labda awanie uraisi huko kwao Zanzibar, hawa jamaa wakitafuta madaraka wanakuwa waungwana na wakishapata wanageuka na kuwa Wazanzibari na si Watanzania, tumewachoka. Huku tutaenda na Dr Slaa baasi.
 
Ugomvi wa familia zenye nguvu za kisiasa ndani ya CCM Zanzibar, ambao wote wanataka uongozi. CHADEMA wakae kimya wamwandae mtu wao, wasimtegemee huyo.
Hawa chadomo hupenda kurukia rukia makapi na watu walioachwa na vyama vyengine
 
Chadema walipinga bwawa la umeme ,ndege za Atcl. Wana laana ya Magufuli.

Ali Karume njoo Umoja party
mkuu umoja party ni chama cha kumuunga mkono uncle rip Magu? hebu funguka......
 
Wazanzibari tulio wengi tunaimani kua chadema Ni adui wa Zanzibar.
Tunaamini bora ccm kuliko chadema

Tunaamini hta hili povu kuhusu bandari ni chuki ya Chadema kwa Zanzibar
 
Yeye aungane na ACT wanzerendo agombee zanzibar
 
CHADEMA Zanzibar si atakuwa amejizika rasmi.
 
Angehamia ACT Zanzibar akasaidie kuvunja huu muungano unaonufaisha matumbo ya wana CCM
.
.
.
Si upendi muungano si ipendi CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…