Ushauri mzuri sana CHADEMA ijiandalie watu wake...na kwa kuongezea: CHADEMA ijiwekeze kwa kutetea maslahi ya TanganyikaUgomvi wa familia zenye nguvu za kisiasa ndani ya CCM Zanzibar, ambao wote wanataka uongozi. CHADEMA wakae kimya wamwandae mtu wao, wasimtegemee huyo.
Cha maans kwako ni kipiBwawa unaona ni kitu cha maana sana. Au hizo ndege zinazojiendesha kihasara unaona ni issue sana.
We pimbi acha matusiUmoja party ya konyo!!
Mlikubaliana na nani?Si tulishakubaliana kwamba CHADEMA ni tawi la CCM πππ
Leo amepata fresh ya kutoka Arusha inamsumbua kichwaKeyboard warrior unahamasisha uasi na mapinduzi. Acha ujinga.
Kumbe wanagawa tuu au wanafanyajeKuuza inatumiwa na mashabiki ili kunogesha stori hujasikia hata bandari inaambiwa tumeuza? Hii nchi ina watu wa hovyo sana
Dr. Slaa afutiliwe nini?Halimashauri kuu ya chama Cha mapinduzi nchini Zanzibari hasa ya Kijiji alichojiungia uana ccm,usiku wa kuamkia Tarehe 8/07/2023 saa Saba usiku imemfutilia mbali uanchama mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibari
Pamoja na kufukuzwa kwake duru za siasa ndani ya ccm Taifa zinadai yakuwa Leo Tarehe 8/07/2023 wataketi kubariki maamuzi hayo uku Dr Slaa nae anajadiliwa either apewe kalipio Kali au afutiliwe mbali
Masikini balozi Karume ......Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume.
Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo Jumamosi Julai 8, 2023 chini ya Katibu wa Mkoa wa CCM, Amina Mnacho.
Taarifa ya kumuondosha kwenye chama hicho ilitolewa na Katibu Mwenezi wa Mkoa huo, Ali Timamu Haji.
Hatua hiyo inakuja baada ya chama hicho kumpa onyo kutoka na kauli zake zake akidaiwa kukidhalilisha chama na kuwatukana viongzi wakuu hadharani.
Kutokana na matamshi ambayo Balozi Ali Kalume amekuwa akiyasema likiwemo la CCM Zanzibar haijawahi kushinda uchaguzi na hujuma za kutwaa ardhi ya familia yao zinazofanywa katika Serikali ya Raisi Mwinyi, kikao cha CCM kilichokaa jana usiku huko Zanzibar kimemfuta uanachama Balozi Karume.
Ikumbukwe pia kumekuwa na kutokuelewana kwa muda sasa kati ya Raisi Mwinyi na Balozi Karume kwa kile ambacho Balozi Karume amekuwa akipinga hadharani sera za Mwinyi kuuza visiwa mbalimbali vilivyoko Zanzibar.
Pia soma:
Watumie tu busara, Mwinyi kaka yangu nisikilize, mbona wewe huwa ni humble? Let them be for the sake of national unityKitanuka Zanzibar very soon! Ali Karume ana power sana na anaungwa mkono na wengi ndani ya chama.
Teh teh teh πππ dah!...we jamaa ni comedian haaa haaa haaaaaaaa πππChadema walipinga bwawa la umeme ,ndege za Atcl. Wana laana ya Magufuli.
Ali Karume njoo Umoja party
Ali karibu CHADEMA.Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume.
Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo Jumamosi Julai 8, 2023 chini ya Katibu wa Mkoa wa CCM, Amina Mnacho.
Taarifa ya kumuondosha kwenye chama hicho ilitolewa na Katibu Mwenezi wa Mkoa huo, Ali Timamu Haji.
Hatua hiyo inakuja baada ya chama hicho kumpa onyo kutoka na kauli zake zake akidaiwa kukidhalilisha chama na kuwatukana viongzi wakuu hadharani.
Kutokana na matamshi ambayo Balozi Ali Kalume amekuwa akiyasema likiwemo la CCM Zanzibar haijawahi kushinda uchaguzi na hujuma za kutwaa ardhi ya familia yao zinazofanywa katika Serikali ya Raisi Mwinyi, kikao cha CCM kilichokaa jana usiku huko Zanzibar kimemfuta uanachama Balozi Karume.
Ikumbukwe pia kumekuwa na kutokuelewana kwa muda sasa kati ya Raisi Mwinyi na Balozi Karume kwa kile ambacho Balozi Karume amekuwa akipinga hadharani sera za Mwinyi kuuza visiwa mbalimbali vilivyoko Zanzibar.
Pia soma:
Hivi kibaka huwa anatoa laana?ππππChadema walipinga bwawa la umeme ,ndege za Atcl. Wana laana ya Magufuli.
Ali Karume njoo Umoja party
Chadema twende na karume 2025Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume.
Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo Jumamosi Julai 8, 2023 chini ya Katibu wa Mkoa wa CCM, Amina Mnacho.
Taarifa ya kumuondosha kwenye chama hicho ilitolewa na Katibu Mwenezi wa Mkoa huo, Ali Timamu Haji.
Hatua hiyo inakuja baada ya chama hicho kumpa onyo kutoka na kauli zake zake akidaiwa kukidhalilisha chama na kuwatukana viongzi wakuu hadharani.
Kutokana na matamshi ambayo Balozi Ali Kalume amekuwa akiyasema likiwemo la CCM Zanzibar haijawahi kushinda uchaguzi na hujuma za kutwaa ardhi ya familia yao zinazofanywa katika Serikali ya Raisi Mwinyi, kikao cha CCM kilichokaa jana usiku huko Zanzibar kimemfuta uanachama Balozi Karume.
Ikumbukwe pia kumekuwa na kutokuelewana kwa muda sasa kati ya Raisi Mwinyi na Balozi Karume kwa kile ambacho Balozi Karume amekuwa akipinga hadharani sera za Mwinyi kuuza visiwa mbalimbali vilivyoko Zanzibar.
Pia soma:
Hivi zito alivyotoa mawazo kinzani pale cdm kipi kilimpata??Hawajazoea mawazo kinzani, wanashangaza sana, kwao mpaka karne hii wao wanamuona yule mwenye mawazo tofauti nao ni adui yao, hivi hawa viumbe wasioweza kuvumilia upinzani miongoni mwao, wataweza vipi kuvumilia upinzani toka nje?
Ndio maana sasa tunaona wakina Prof. Nshala, na Adv. Mwabukusi, wakitishiwa maisha, kwa sababu tu ya kuwakosoa hawa wajuaji wasioamini mawazo tofauti na yao. Ajabu hili linafanywa chini ya Rais Mwinyi, niliyeamini ana fikra chanya kiuongozi, kumbe nilijidanganya.
Shithole comment!Bwawa unaona ni kitu cha maana sana. Au hizo ndege zinazojiendesha kihasara unaona ni issue sana.
Mlikubaliana na nani?