CCM Zanzibar yamfuta uanachama Balozi Ali Karume

Ugomvi wa familia zenye nguvu za kisiasa ndani ya CCM Zanzibar, ambao wote wanataka uongozi. CHADEMA wakae kimya wamwandae mtu wao, wasimtegemee huyo.
Ushauri mzuri sana CHADEMA ijiandalie watu wake...na kwa kuongezea: CHADEMA ijiwekeze kwa kutetea maslahi ya Tanganyika
 
Kama kawaoda.

Watu wengi wanashindwa kuongelea sera kwa hoja anuai tunduizi na za kidhahania, wanishia kujadili watu.
 
Halimashauri kuu ya chama Cha mapinduzi nchini Zanzibari hasa ya Kijiji alichojiungia uana ccm,usiku wa kuamkia Tarehe 8/07/2023 saa Saba usiku imemfutilia mbali uanchama mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibari

Pamoja na kufukuzwa kwake duru za siasa ndani ya ccm Taifa zinadai yakuwa Leo Tarehe 8/07/2023 wataketi kubariki maamuzi hayo uku Dr Slaa nae anajadiliwa either apewe kalipio Kali au afutiliwe mbali
Dr. Slaa afutiliwe nini?
 
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume.

Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo Jumamosi Julai 8, 2023 chini ya Katibu wa Mkoa wa CCM, Amina Mnacho.

Taarifa ya kumuondosha kwenye chama hicho ilitolewa na Katibu Mwenezi wa Mkoa huo, Ali Timamu Haji.

Hatua hiyo inakuja baada ya chama hicho kumpa onyo kutoka na kauli zake zake akidaiwa kukidhalilisha chama na kuwatukana viongzi wakuu hadharani.

Kutokana na matamshi ambayo Balozi Ali Kalume amekuwa akiyasema likiwemo la CCM Zanzibar haijawahi kushinda uchaguzi na hujuma za kutwaa ardhi ya familia yao zinazofanywa katika Serikali ya Raisi Mwinyi, kikao cha CCM kilichokaa jana usiku huko Zanzibar kimemfuta uanachama Balozi Karume.

Ikumbukwe pia kumekuwa na kutokuelewana kwa muda sasa kati ya Raisi Mwinyi na Balozi Karume kwa kile ambacho Balozi Karume amekuwa akipinga hadharani sera za Mwinyi kuuza visiwa mbalimbali vilivyoko Zanzibar.

Pia soma:
Masikini balozi Karume ......
 
Kitanuka Zanzibar very soon! Ali Karume ana power sana na anaungwa mkono na wengi ndani ya chama.
Watumie tu busara, Mwinyi kaka yangu nisikilize, mbona wewe huwa ni humble? Let them be for the sake of national unity
 
Chadema walipinga bwawa la umeme ,ndege za Atcl. Wana laana ya Magufuli.

Ali Karume njoo Umoja party
Teh teh teh 😂😂😂 dah!...we jamaa ni comedian haaa haaa haaaaaaaa 😃😃😃
 
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume.

Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo Jumamosi Julai 8, 2023 chini ya Katibu wa Mkoa wa CCM, Amina Mnacho.

Taarifa ya kumuondosha kwenye chama hicho ilitolewa na Katibu Mwenezi wa Mkoa huo, Ali Timamu Haji.

Hatua hiyo inakuja baada ya chama hicho kumpa onyo kutoka na kauli zake zake akidaiwa kukidhalilisha chama na kuwatukana viongzi wakuu hadharani.

Kutokana na matamshi ambayo Balozi Ali Kalume amekuwa akiyasema likiwemo la CCM Zanzibar haijawahi kushinda uchaguzi na hujuma za kutwaa ardhi ya familia yao zinazofanywa katika Serikali ya Raisi Mwinyi, kikao cha CCM kilichokaa jana usiku huko Zanzibar kimemfuta uanachama Balozi Karume.

Ikumbukwe pia kumekuwa na kutokuelewana kwa muda sasa kati ya Raisi Mwinyi na Balozi Karume kwa kile ambacho Balozi Karume amekuwa akipinga hadharani sera za Mwinyi kuuza visiwa mbalimbali vilivyoko Zanzibar.

Pia soma:
Ali karibu CHADEMA.
 
Chadema twende na karume 2025
 
Hawajazoea mawazo kinzani, wanashangaza sana, kwao mpaka karne hii wao wanamuona yule mwenye mawazo tofauti nao ni adui yao, hivi hawa viumbe wasioweza kuvumilia upinzani miongoni mwao, wataweza vipi kuvumilia upinzani toka nje?

Ndio maana sasa tunaona wakina Prof. Nshala, na Adv. Mwabukusi, wakitishiwa maisha, kwa sababu tu ya kuwakosoa hawa wajuaji wasioamini mawazo tofauti na yao. Ajabu hili linafanywa chini ya Rais Mwinyi, niliyeamini ana fikra chanya kiuongozi, kumbe nilijidanganya.
Hivi zito alivyotoa mawazo kinzani pale cdm kipi kilimpata??
 
Back
Top Bottom