Elections 2010 CCM Zanzibar...

Elections 2010 CCM Zanzibar...

Maalim wetu, ni mara ya ngapi sasa?
maalim%20sharif%20seif.jpg
Maalim hajawahi kushindwa uchaguzi huru na haki Zanzibar...ila Simai, kwa jimbo la MjiMkongwe ambalo chaguzi zilizopita CCM walipeleka mamluki kwa malori na ajira kama juu, hata wamasai eti walipiga kura MjiMkongwe...bado Bi. Fatma Abudulhabib Ferej akaibuka kinara, mara hii tumempa Simai mtu mzito sana, si saizi yake hata kidogo na mwenyewe kwa maneno yake mwenyewe Simai anakubali kuwa Mh. Jussa ni mkubwa mno kupambana naye, anakamilisha ratiba na hizo pesa za bure tu!
 
.... hata wamasai eti walipiga kura MjiMkongwe...bado Bi. Fatma Abudulhabib Ferej akaibuka kinara, mara hii tumempa Simai mtu mzito sana, si saizi yake hata kidogo na mwenyewe kwa maneno yake mwenyewe Simai anakubali kuwa Mh. Jussa ni mkubwa mno kupambana naye, anakamilisha ratiba na hizo pesa za bure tu!
Jusa%20kiapo.JPG
Jussa anauwezo mkubwa na amefanya mengi katika CUF-Zanzibar yenye kuheshimika! Aidha hii haitoshi kumzuia Simai kujinadi, kwani awali ya yote ni Sera za vyama ambazo wanazinadi. Zaidi nimependa hiyo staili ya Simai na Kibabaj katika mitaa ya Mji Mkongwe...

Aidha kwa Wamasai ambao wengi wao ndio wauza vinyago hapo Mji Mkongwe wanayohaki ya kupiga kura..
masai%20in%20stown%20town.jpg


 
Hivi ninani aliye waambia Dr slaa ni mchaga? Achen kufwata mkumbo. Wanyakyusa tunamkubari kinoma mulize jk analijua hilo.>>>dr slaa 4 2010
 
Hivi ninani aliye waambia Dr slaa ni mchaga? Achen kufwata mkumbo. Wanyakyusa tunamkubari kinoma mulize jk analijua hilo.>>>dr slaa 4 2010
Na hili bandiko lako linausiana vipi na thread hii?
Kyela%202.jpg

Hapo ni Kyela...
 
Kibunango,
Wakati vyama vingine vinafanya kampeni kwa gharama kubwa za kutisha pamoja na kutumia rasilimali za wananchi, vipo vyama vingine kwao wao kampeni kama hizo ni anasa kubwa.

Pichani hapo chini ni mgombea urais wa zanzibar kwa tiketi ya chama cha muungano wa wakulima (AFP) bw. Said Soud akiwa na meneja kampeni wake bw. Rashidi Rai, katika harakati za kuomba ridhaa ya wananchi kuingia ikulu.

wakati wagombea wa vyama vingine wakipasua anga kwa helikopta na magari makubwa, bwana Soud (pichani) anatumia vespa yake akipanga mashambuliza yake ya kuingia ikulu kuanzia ardhini.

Picha zote kwa hisani ya Mpoki Bukuku blog.
NI vema na mimi nampa sapoti lakini unadhani kwenu wazenji atakubalika? Nyie mlishalewa sisi m na kafa
 
Maalim wetu, ni mara ya ngapi sasa?
maalim%20sharif%20seif.jpg
Kwani hiyo ni shida? sisi kwani kwenye katiba yenu inaweka mipaka ya miaka kwa mgombea urais?
Subiri mwaka huu mnakwenda kuwa chama cha upinzani na tuone kama mtakuwa mnazungumza haya.
Mbeleeeeeeeeeeeeeeeee tembeaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kibunango,
Kweli mkuu maridhiano yamesaidia kuleta shwari ya mambo, hatusikii habari za 'janjaweed' wala kampeni za kutukanana...ila kuna mtu (Hafidh Ali Tahir) nilisikia alishaanza upuuzi wake akapewa karipio mara moja, kalezwa aeleze chama chake kitafanya nini na si wenzao kuwa hawataweza kufanya wananchoahidi...so far, kampeni zinakwenda vizuri tu, hivyo ni kweli wanastahili pongezi.
Hata hivyo mwaka huu kafa noooooooo kafu mtapigwa mweleka mkubwa sana. Nilipata ndoto kuwa hata majimbo mengi kwenu Pemba mtanyang'anywa. Hongera Kibunango kwa mikakati murua ya kuwamaliza kafa.
 
Hata hivyo mwaka huu kafa noooooooo kafu mtapigwa mweleka mkubwa sana. Nilipata ndoto kuwa hata majimbo mengi kwenu Pemba mtanyang'anywa. Hongera Kibunango kwa mikakati murua ya kuwamaliza kafa.
Kwanza CCM wenyewe huko Pemba hawapo...unakumbuka Dr. Shein alipokuwa mwakilishi wa jimbo la Mkanyageni Pemba kabla ya kuwa makamo wa rais alipata kura ngapi? yaani zilizomchaguwa hazikuzidi 500 zilizomkataa (za maruhani) zilipindukia 5000.
Mara hii tuna hakika majimbo yetu tuliyohujumiwa Unguja yanarudi mikononi, Kisonge hawamo mara hii afadhali kidogo!
 
Ushindi wa CUF safari hii kwa vikapu ,wengi wanaulizia tarehe ya kuapishwa maalim ni lini ?
 
CCM hawajui walitendalo,wanasema ni mtetezi wa wazee wakati wazee wa Africa mashariki wanaodai haki yao iliyolipwa na waingereza kwenye serikali yetu hawajalipwa na juzi mmoja wamemuua akidai hiyo haki yake walipoziba njia pale mahakama kuu.Inashangaza saaana.
 
CCM hawajui walitendalo,wanasema ni mtetezi wa wazee wakati wazee wa Africa mashariki wanaodai haki yao iliyolipwa na waingereza kwenye serikali yetu hawajalipwa na juzi mmoja wamemuua akidai hiyo haki yake walipoziba njia pale mahakama kuu.Inashangaza saaana.
CCM ni watetezi wa jamii yote ya Kitanzania, ambapo wazee ni miongoni mwao... BTW bandiko hili ni mahsusi kwa CCM Zanzibar..
wazee%26ccm.jpg

 
CCM ni watetezi wa jamii yote ya Kitanzania, ambapo wazee ni miongoni mwao... BTW bandiko hili ni mahsusi kwa CCM Zanzibar..
wazee%26ccm.jpg


Maskini weeeee mzee wa watu kapigwa moja bila!!!!!!!!!!!!! Hamjui Jibaya Kikwete nini?
 
Back
Top Bottom