Junius
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 3,181
- 144
Maalim hajawahi kushindwa uchaguzi huru na haki Zanzibar...ila Simai, kwa jimbo la MjiMkongwe ambalo chaguzi zilizopita CCM walipeleka mamluki kwa malori na ajira kama juu, hata wamasai eti walipiga kura MjiMkongwe...bado Bi. Fatma Abudulhabib Ferej akaibuka kinara, mara hii tumempa Simai mtu mzito sana, si saizi yake hata kidogo na mwenyewe kwa maneno yake mwenyewe Simai anakubali kuwa Mh. Jussa ni mkubwa mno kupambana naye, anakamilisha ratiba na hizo pesa za bure tu!Maalim wetu, ni mara ya ngapi sasa?
![]()