Maalim hajawahi kushindwa uchaguzi huru na haki Zanzibar...ila Simai, kwa jimbo la MjiMkongwe ambalo chaguzi zilizopita CCM walipeleka mamluki kwa malori na ajira kama juu, hata wamasai eti walipiga kura MjiMkongwe...bado Bi. Fatma Abudulhabib Ferej akaibuka kinara, mara hii tumempa Simai mtu mzito sana, si saizi yake hata kidogo na mwenyewe kwa maneno yake mwenyewe Simai anakubali kuwa Mh. Jussa ni mkubwa mno kupambana naye, anakamilisha ratiba na hizo pesa za bure tu!Maalim wetu, ni mara ya ngapi sasa?
.... hata wamasai eti walipiga kura MjiMkongwe...bado Bi. Fatma Abudulhabib Ferej akaibuka kinara, mara hii tumempa Simai mtu mzito sana, si saizi yake hata kidogo na mwenyewe kwa maneno yake mwenyewe Simai anakubali kuwa Mh. Jussa ni mkubwa mno kupambana naye, anakamilisha ratiba na hizo pesa za bure tu!
NI vema na mimi nampa sapoti lakini unadhani kwenu wazenji atakubalika? Nyie mlishalewa sisi m na kafaKibunango,
Wakati vyama vingine vinafanya kampeni kwa gharama kubwa za kutisha pamoja na kutumia rasilimali za wananchi, vipo vyama vingine kwao wao kampeni kama hizo ni anasa kubwa.
Pichani hapo chini ni mgombea urais wa zanzibar kwa tiketi ya chama cha muungano wa wakulima (AFP) bw. Said Soud akiwa na meneja kampeni wake bw. Rashidi Rai, katika harakati za kuomba ridhaa ya wananchi kuingia ikulu.
wakati wagombea wa vyama vingine wakipasua anga kwa helikopta na magari makubwa, bwana Soud (pichani) anatumia vespa yake akipanga mashambuliza yake ya kuingia ikulu kuanzia ardhini.
Picha zote kwa hisani ya Mpoki Bukuku blog.
Kwani hiyo ni shida? sisi kwani kwenye katiba yenu inaweka mipaka ya miaka kwa mgombea urais?Maalim wetu, ni mara ya ngapi sasa?
Hata hivyo mwaka huu kafa noooooooo kafu mtapigwa mweleka mkubwa sana. Nilipata ndoto kuwa hata majimbo mengi kwenu Pemba mtanyang'anywa. Hongera Kibunango kwa mikakati murua ya kuwamaliza kafa.Kibunango,
Kweli mkuu maridhiano yamesaidia kuleta shwari ya mambo, hatusikii habari za 'janjaweed' wala kampeni za kutukanana...ila kuna mtu (Hafidh Ali Tahir) nilisikia alishaanza upuuzi wake akapewa karipio mara moja, kalezwa aeleze chama chake kitafanya nini na si wenzao kuwa hawataweza kufanya wananchoahidi...so far, kampeni zinakwenda vizuri tu, hivyo ni kweli wanastahili pongezi.
Naona imeandikwa Tanzania bila kiwete inawezekana. Hofu yangu ni kwamba tarehe 31.10 atajiangusha tena kwa shockNa hili bandiko lako linausiana vipi na thread hii?
Hapo ni Kyela...
Dr Slaa mchagga! Du hii kaliKama hapa Dodoma kwenye wachagga wenzake hakuna picha yake zanzibar itakuwepo?
Kwanza CCM wenyewe huko Pemba hawapo...unakumbuka Dr. Shein alipokuwa mwakilishi wa jimbo la Mkanyageni Pemba kabla ya kuwa makamo wa rais alipata kura ngapi? yaani zilizomchaguwa hazikuzidi 500 zilizomkataa (za maruhani) zilipindukia 5000.Hata hivyo mwaka huu kafa noooooooo kafu mtapigwa mweleka mkubwa sana. Nilipata ndoto kuwa hata majimbo mengi kwenu Pemba mtanyang'anywa. Hongera Kibunango kwa mikakati murua ya kuwamaliza kafa.
CCM ni watetezi wa jamii yote ya Kitanzania, ambapo wazee ni miongoni mwao... BTW bandiko hili ni mahsusi kwa CCM Zanzibar..CCM hawajui walitendalo,wanasema ni mtetezi wa wazee wakati wazee wa Africa mashariki wanaodai haki yao iliyolipwa na waingereza kwenye serikali yetu hawajalipwa na juzi mmoja wamemuua akidai hiyo haki yake walipoziba njia pale mahakama kuu.Inashangaza saaana.
CCM ni watetezi wa jamii yote ya Kitanzania, ambapo wazee ni miongoni mwao... BTW bandiko hili ni mahsusi kwa CCM Zanzibar..