CCP ya China, ingekaliwa na watu wajinga wàjinga Vilaza, China ingekua kama Tanzania ya Leo !!.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Unakuta Kuna Jamaa CCM akiongea, anasema 'Sisi tuko kama Wachina".

Pumbafu kabisa, Hivi ukiitazama Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu yà CCM Kuna mwenye Akili pale? Mtu ambaye anaweza kuleta Maono yake na yakafanyika kweli??.

Kamati imejaa watu mbumbumbu, Et Chatanda ?? Wasira, Samia, Kawaida... ?

Hawa ndio tunategemea Watuletee RC, DC, RAS, DAS , wakuu wa Vyombo n.k ??

Kumbafu kabisa
 
Mkuu hapo kwenye "mbumbumbu" ungeongeza maneno ya ziada "mzungu wa reli" ili ibebe maana iliyokusudiwa.
 
Back
Top Bottom