Ndio ipo.Kuna tofaut kati ya network na Internet
Tofauti ni nn hapo mm najua cctv huwa zinaitaĵiii bundlesNdio ipo.
Mkuu wakizima server kumbuka na simu ya wagombea wengine zina hiyo record, record haikai kwa server ya nec tuWatazima Server
Swali la lilikua utafauti wa network na internet.Tofauti ni nn hapo mm najua cctv huwa zinaitaĵiii bundles
Mkuu ni rahisi sana, unahitaji network tu, tena wireless ambayo wagombea watakuwa na wao wana record huku main server ni server ya NECcctv camera kwa miundombinu ipi?
Hapana mkuu, huitaji bundle ni network (LAN) tu na siyo internet sasa wewe kama mgombea kupitia simu yako utaweza kurekodi na kuitunza hiyo footage in case watu wakifanya yao na server ya NecTofauti ni nn hapo mm najua cctv huwa zinaitaĵiii bundles
Hapa nitoe elimu kidogo. Kwa ishu ya Lissu ni kuwa only server ya pale ndiyo ilikuwa na record lakini kwa hii kila mgombea anakuwa na record ya kila kinachofanyika ndani ten live na siyo kuja kuona baadae.Alipopigwa risasi Lissu hizo camera zilikuwepo ila zikang'olewa
Kwa lugha rahisi ni kama video conference kati ya kinachoendelea ndani na wewe mgombea sema mgombea anakuwa observer huku ana record matukio. Na ni kupitia network na siyo Internet so hakuna gharama zozote zaid ya CCTV camera na server tu, simu itakuwa gharama ya mgombea, connection ni wireless.Alipopigwa risasi Lissu hizo camera zilikuwepo ila zikang'olewa
ungepata bahati ya kutembea tanzania ungeelewa vizuri.Mkuu ni rahisi sana, unahitaji network tu, tena wireless ambayo wagombea watakuwa na wao wana record huku main server ni server ya NEC
Mimi hata huko ndani mdani nimefika, inamaana nec wanashindwa kununua solar ya kuwasha camera moja au mbili huku na huku?ungepata bahati ya kutembea tanzania ungeelewa vizuri.
Hapana.ungepata bahati ya kutembea tanzania ungeelewa vizuri.
Hebu endelea kutoa elimu hapo mkuu! Sasa kwa mbunge itakuwaje maana ndani ya jimbo ana vituo vingi vya kupigia kura ataweza vipi kufuatilia matukio kwenye vituo vingine?Kwa lugha rahisi ni kama video conference kati ya kinachoendelea ndani na wewe mgombea sema mgombea anakuwa observer huku ana record matukio. Na ni kupitia network na siyo Internet so hakuna gharama zozote zaid ya CCTV camera na server tu, simu itakuwa gharama ya mgombea, connection ni wireless.