Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kuna changamoto kidogo. Angeweza kuwa ana switch kutoka connection ya serve ya kituo kimoja kwenda server ya kituo kingine. Ila hapa changamoto ni mbili.Hebu endelea kutoa elimu hapo mkuu! Sasa kwa mbunge itakuwaje maana ndani ya jimbo ana vituo vingi vya kupigia kura ataweza vipi kufuatilia matukio kwenye vituo vingine?
Sawa ni kweli hawatakubali, lakini wanaweza kutoa sababu zip za kukataa wakati simu ni gharama ya mgombea na mgombea halazimishwi kutumia kamera/simuCCM hawawezi kukubali!
ni kinyume na sheria ya faragha,Moja moja kwa mada:
Ili kuondoa haya malalamiko ya wagombea wa CCM kuanzisha vurugu na kuwasingizia wapinzani ili watolewe nje na Police then wao wanabadilisha matokeo then mawakala wanarudishwa ndani kuhesabu, pamoja na hujumu zingine kama kwenda kula chakula ndani watu wanafanya yao.
Kwanini kila kituo cha kupigia kura pasiwekwe CCTV camera na iwe ina record kila kitu kwenye local server pamoja na kuonyesha kwenye simu ya kila mgombea ili kama ikitokea shida kwenye local server basi kila mgombea anabaki na CCTV footage copy yake.
Kwanza ni nafuu maana huitaji internet zaidi ya network tu. Hili litapunguza hujumua kwa kiasi kikubwa.
Je, kwa sheria za uchaguzi zetu zilivyo na makandokando wanaweza ruhusu hili?
Pia niwaulize wadau hili linaweza kusaidia kupunguza hujumu zinazofanyika?
Asanteni
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - NEC: CCTV zifungwe kuepusha wizi wa kura
Wagombea wengine hata hizo simu hawana kabisa.Hapa nitoe elimu kidogo. Kwa ishu ya Lissu ni kuwa only server ya pale ndiyo ilikuwa na record lakini kwa hii kila mgombea anakuwa na record ya kila kinachofanyika ndani ten live na siyo kuja kuona baadae.
Ni kweli kabisa, hii ni option tu kwa wenye uwezo ila siyo kitu cha lazima kwa kila mgombeaWagombea wengine hata hizo simu hawana kabisa.
CCM ni wapumbavu! Kura huwa zinahesabiwa vituoni sasa huko ukumbi sijui huwa wanaenda kuhesabu nini tena! Wananchi tunatakiwa tuwe wakali, kwa mfano wakaiba kura wakatuletea mbunge ambaye hatukumchagu tuhakikishe hafanyi mikutano ya hadhara jimboni, abaki kuwa mbunge wa tume!kwanini wenzetu wanaofanya chaguzi za haki kuwa wanahesabu vp kura zao mfano USA, malawi,Botswana na Zambia na kwa mbali kenya kwanini tusicopy mazuri yao kuliko tunavyofanya eti kura zinapigwa vituoni alafu mnabeba masanduku mnaenda kuhesabu sijui ukumbini eti kuhesabu kwa pamoja sasa ajabu uko ukumbini unakuta wengine na masanduku yao washafika kiasi huwezi jua hayo masanduku ya kura yaliyowatangulia ni ya vituo halali au ya kuchomekwa..kama tunaweza kuhesabu kura za udiwani na ubunge na matokeo yake kubandikwa kituon kinashindikana nini kwenye kura za urais.tuwaige hata zambia