Exile
JF-Expert Member
- Feb 21, 2021
- 1,477
- 3,642
Sawa nasoma na nipe na ya mtumeSoma sheria ya mwizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nasoma na nipe na ya mtumeSoma sheria ya mwizi
Itakua hufuatilii channel za ci id,hao mbwa wanauwana daily na matukio ya kutoshaCctv camera ni muhimu sana watu hawaelewi tu.
Sio kwenye biashara, hata nyumbani ni muhimu sana kwenye mazingira ya nyumbani nje ya nyumba.
Marekani na ulaya matukio mengi sana ya uhalifu yametatuliwa kwa msaada wa cctv camera. Wao hii teknolojia ilianza miaka ya 80s na 90s.
Sasa hivi karibu kila mtaa ama nyumba wana cctv camera.
Tubadilike, tuweke cctv camera, zipo za bei ndogo sana na faida yake ni kubwa sana
Itakua hufuatilii channel za ci id,hao mbwa wanauwana daily na matukio ya kutosha
wee bibi kizee muungano ukivunjika utakuja kariakoo kwa visa.Hao wanaionea Kariakoo hatuuwi wezi. Akaibe Kwengine kama hajafungwa tairi huyo.
So many unsolved cases broLakini Footage zipo.
So many unsolved cases bro
Tena kuna sharia ya kukatwa mkono kabisaHao wanaionea Kariakoo hatuuwi wezi. Akaibe Kwengine kama hajafungwa tairi huyo.
“Na mwizi mwanamume na mwizi mwanamke, ikateni mikono yao” (al-Maidah, 38).
Zote googleSawa nasoma na nipe na ya mtume
Sharia ya mwizi kukatwa mkono ipo, pia kukatwa mkono na mguu, pia kuuliwa.Tena kuna sharia ya kukatwa mkono kabisa
Huyo ni kama wezi wengine wa bandari, wanaiba kwa kutumia penHao wanaionea Kariakoo hatuuwi wezi. Akaibe Kwengine kama hajafungwa tairi huyo.
Asante kwa ufafanuzi. Je, kutembea na mke au mume wa mtu, inahesabika pia kuwa ni wizi?Sharia ya mwizi kukatwa mkono ipo, pia kukatwa mkono na mguu, pia kuuliwa.
Lakini zote hizo zina namna yake, siyo mtu anakatwa tu.
wee bibi kizee muungano ukivunjika utakuja kariakoo kwa visa.
Sijui unaizungumzia Kariakoo gani ila Kariakoo ninayoijua mimi miaka ya ya nyuma 2008 kurudi nyuma vibaka walikuwa wanapigwa moto kama mishikaki.Hao wanaionea Kariakoo hatuuwi wezi. Akaibe Kwengine kama hajafungwa tairi huyo.