Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana viwango vyao eti wanataka ile sehem ya mbele ya nyumba pasizibwe ila uweke marembo ili aliye nje aweze kuona ndani. Sasa matokeo yake majizi ndo yanatumia fursa kula chabo.Yaani Makao Makuu ya Nchi jiji la Dodoma Makao Makuu ya Chama, hamruhusiwi kujenga fensi ndefu? Kimo maximum mita ngapi?
Hapo kuna kuingia gharama za kumlipa mmasai hapo.Wana viwango vyao eti wanataka ile sehem ya mbele ya nyumba pasizibwe ila uweke marembo ili aliye nje aweze kuona ndani. Sasa matokeo yake majizi ndo yanatumia fursa kula chabo.
Ilikuwa kozi 4 TU mbele, nyuma kushoto na kulia isizidi kozi 9Yaani Makao Makuu ya Nchi jiji la Dodoma Makao Makuu ya Chama, hamruhusiwi kujenga fensi ndefu? Kimo maximum mita ngapi?
Gharama za manondo, mafensi, mageti, nyaya za umeme unaweza jenga ntumba nyingine.Watanzania kwa maukuta bwana...dhibitini uhalifu..mbona hamjiulizi kwanini mataifa mengine hakuna mi ukuta?
Nyumba ikijengwa vizuri inapendeza ikiwa free pasipo kuta
Ningekua rais ningeshauri kuta zooote nchini ziondoshwe iwe kama zambia
CDA ILISHA FUTWA KITAMBO MKUUCDA Dodoma: Ruhusuni ujenzi wa fensi ndefu za moja kwa moja.
Hizi fensi za marembo mnazowataka watu wajenge zinaruhusu mtu aliyeko nje kuona kilichopo ndani matokeo yake watu wanaibiwa sana.
haya ndo matokeo ya kuzoa tu vitu uko bila uangalie mazingira yetu. una hakika Sisi na ao Zambia tunafanana?Watanzania kwa maukuta bwana...dhibitini uhalifu..mbona hamjiulizi kwanini mataifa mengine hakuna mi ukuta?
Nyumba ikijengwa vizuri inapendeza ikiwa free pasipo kuta
Ningekua rais ningeshauri kuta zooote nchini ziondoshwe iwe kama zambia
Halafu na kandambili nazo unaacha umefungia ndani.Watanzania kwa maukuta bwana...dhibitini uhalifu..mbona hamjiulizi kwanini mataifa mengine hakuna mi ukuta?
Nyumba ikijengwa vizuri inapendeza ikiwa free pasipo kuta
Ningekua rais ningeshauri kuta zooote nchini ziondoshwe iwe kama zambia
Hawa VIBAKA (CDA) hawapo tena tuna jiji labda jiji lifanyie kazi ombi lakoCDA Dodoma: Ruhusuni ujenzi wa fensi ndefu za moja kwa moja.
Hizi fensi za marembo mnazowataka watu wajenge zinaruhusu mtu aliyeko nje kuona kilichopo ndani matokeo yake watu wanaibiwa sana.
Halafu inakuwa kama gereza unakuta ukuta mrefu hata hewa haipenyi vizuri ndani.Watanzania kwa maukuta bwana...dhibitini uhalifu..mbona hamjiulizi kwanini mataifa mengine hakuna mi ukuta?
Nyumba ikijengwa vizuri inapendeza ikiwa free pasipo kuta
Ningekua rais ningeshauri kuta zooote nchini ziondoshwe iwe kama zambia