CDA Dodoma: Ruhusuni ujenzi wa fensi ndefu za moja kwa moja

CDA Dodoma: Ruhusuni ujenzi wa fensi ndefu za moja kwa moja

Watanzania kwa maukuta bwana...dhibitini uhalifu..mbona hamjiulizi kwanini mataifa mengine hakuna mi ukuta?
Nyumba ikijengwa vizuri inapendeza ikiwa free pasipo kuta
Ningekua rais ningeshauri kuta zooote nchini ziondoshwe iwe kama zambia
Yes.
Binafsi kungekuwa na usalama wa kutosha hapa nchini, nisingependa kujenga ukuta kuzunguka nyumba.
 
CDA Dodoma: Ruhusuni ujenzi wa fensi ndefu za moja kwa moja.

Hizi fensi za marembo mnazowataka watu wajenge zinaruhusu mtu aliyeko nje kuona kilichopo ndani matokeo yake watu wanaibiwa sana.
Wewe umetokea wapi au hukuwa na bundle CDA ikifutwa?
 
Watanzania kwa maukuta bwana...dhibitini uhalifu..mbona hamjiulizi kwanini mataifa mengine hakuna mi ukuta?
Nyumba ikijengwa vizuri inapendeza ikiwa free pasipo kuta
Ningekua rais ningeshauri kuta zooote nchini ziondoshwe iwe kama zambia
Duh kwahiyo Zambia nyumba zote hazina uzio.?
 
Bongo bila fensi kama za jela na mbwa, nyumba huwa inageuka kuwa chama la wana...

Wana watajitwalia sana vitu kama simu n.k
Tunapenda kujenga Magereza, weka fence uani huyo kibaka anaona mbele ya nyumba
 
Tunapenda kujenga Magereza, weka fence uani huyo kibaka anaona mbele ya nyumba
Kujenga hivyo si kwamba ni mapenzi bali shida kama hizo za vibaka na wezi...

Zamani sana watu hawakuwa wakijenga kuta, sana sana watu walikuwa wanazungushia mipaka kwa michongoma, maua au miti ya x-mas au senyenge
 
CDA wangekuwepo hivyo vibanda vya uani mlivyojenga na kupangisha msingeweza. Halafu mnataka kujenga fence au ni kuweka vyumba vya kupangisha
ww utakuwa mmojawapo ukawaambie wenzako waache ushamba wa kukopi vitu bila kuangalia mazingira halisi ya mahali.
 
Watanzania kwa maukuta bwana...dhibitini uhalifu..mbona hamjiulizi kwanini mataifa mengine hakuna mi ukuta?
Nyumba ikijengwa vizuri inapendeza ikiwa free pasipo kuta
Ningekua rais ningeshauri kuta zooote nchini ziondoshwe iwe kama zambia
Unataka wakurahisishie kazi siyo? Basi waambie hata askari wasiwe wanafanya Doria.
 
Kwani anaekosa hewa ni mwenye ukuta au mpita njia?.
Ni mapendekezo tu mkuu ila kuna mengine huwa tunafanya kwa kuiga majirani uncounciously lakin kwa mtazamo wangu mifensi yenye ukuta mrefu siweki kwangu hata hizi dirisha za alluminium za kuslide zinafunguka nusu dirisha sijaweka kwangu labda tu nifunge a/c na hicho kitu ndo sitaki.
 
CDA maana ake Ni nini?
Mtoa mada ameandika kana kwamba Kila mtu humu anaishi dodoma
 
Back
Top Bottom