CDA Dodoma: Ruhusuni ujenzi wa fensi ndefu za moja kwa moja

CDA Dodoma: Ruhusuni ujenzi wa fensi ndefu za moja kwa moja

Huu mfano ni mfu, vijijini hawaweki kwa sababu ya gharama. Pia maeneo mengi vijijini ni makubwa sana, hivyo si rahisi kuweka kuta.
Kuna baadhi ya vijiji mfano mtwara wanatumia kuta za makuti
Vijijini kuna watu wana pesa aisee hadi tena zinakabiliwa hapohapo home,mzee unakuta ana mifugo kama kufuru vijijini ati wapo vzr
 
Ila mageti marefu yanaharibu show ya nyumba jamani weken ya wastan tu
 
Wigo ukiwa mrefu Sana huficha uzuri wa nyumba.kwa maoni yangu futi 8 inatosha.
mkuu kuonesha unataka kuonesha uzuri wa nyumba kwa nani ? na je unalinganishaje na gharama ya kuibiwa?
 
Mwanangu, haya ni mambo ya mwaka 47...
CDA - Capital (Dodoma) Development Authority...
Kwa kiswahili wait waliitambua Kama MAMLAKA YA USTAWISHAJI MAKAO MAKUU Ila Kwa matatizo yao ilikuwa KAMA MAMLAKA YA UZOROTESHAJI
 
Vijijini kuna watu wana pesa aisee hadi tena zinakabiliwa hapohapo home,mzee unakuta ana mifugo kama kufuru vijijini ati wapo vzr
kijijini fully salama labda km unaweka ng'ombe wasikimbie kwa jiran wakala mazao ila sio sn kuzuia wez
 
Back
Top Bottom