I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,553 Apr 5, 2021 #61 Countrywide said: Huu mfano ni mfu, vijijini hawaweki kwa sababu ya gharama. Pia maeneo mengi vijijini ni makubwa sana, hivyo si rahisi kuweka kuta. Kuna baadhi ya vijiji mfano mtwara wanatumia kuta za makuti Click to expand... Vijijini kuna watu wana pesa aisee hadi tena zinakabiliwa hapohapo home,mzee unakuta ana mifugo kama kufuru vijijini ati wapo vzr
Countrywide said: Huu mfano ni mfu, vijijini hawaweki kwa sababu ya gharama. Pia maeneo mengi vijijini ni makubwa sana, hivyo si rahisi kuweka kuta. Kuna baadhi ya vijiji mfano mtwara wanatumia kuta za makuti Click to expand... Vijijini kuna watu wana pesa aisee hadi tena zinakabiliwa hapohapo home,mzee unakuta ana mifugo kama kufuru vijijini ati wapo vzr
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Apr 5, 2021 #62 Ila mageti marefu yanaharibu show ya nyumba jamani weken ya wastan tu
Marumeso JF-Expert Member Joined Oct 3, 2009 Posts 1,410 Reaction score 1,325 Apr 7, 2021 Thread starter #63 Fund man said: Wigo ukiwa mrefu Sana huficha uzuri wa nyumba.kwa maoni yangu futi 8 inatosha. Click to expand... mkuu kuonesha unataka kuonesha uzuri wa nyumba kwa nani ? na je unalinganishaje na gharama ya kuibiwa?
Fund man said: Wigo ukiwa mrefu Sana huficha uzuri wa nyumba.kwa maoni yangu futi 8 inatosha. Click to expand... mkuu kuonesha unataka kuonesha uzuri wa nyumba kwa nani ? na je unalinganishaje na gharama ya kuibiwa?
COMOTANG JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 2,131 Reaction score 1,821 Apr 7, 2021 #64 Rangi 2 said: Mwanangu, haya ni mambo ya mwaka 47... CDA - Capital (Dodoma) Development Authority... Click to expand... Kwa kiswahili wait waliitambua Kama MAMLAKA YA USTAWISHAJI MAKAO MAKUU Ila Kwa matatizo yao ilikuwa KAMA MAMLAKA YA UZOROTESHAJI
Rangi 2 said: Mwanangu, haya ni mambo ya mwaka 47... CDA - Capital (Dodoma) Development Authority... Click to expand... Kwa kiswahili wait waliitambua Kama MAMLAKA YA USTAWISHAJI MAKAO MAKUU Ila Kwa matatizo yao ilikuwa KAMA MAMLAKA YA UZOROTESHAJI
Marumeso JF-Expert Member Joined Oct 3, 2009 Posts 1,410 Reaction score 1,325 Apr 7, 2021 Thread starter #65 ibanezafrica said: Vijijini kuna watu wana pesa aisee hadi tena zinakabiliwa hapohapo home,mzee unakuta ana mifugo kama kufuru vijijini ati wapo vzr Click to expand... kijijini fully salama labda km unaweka ng'ombe wasikimbie kwa jiran wakala mazao ila sio sn kuzuia wez
ibanezafrica said: Vijijini kuna watu wana pesa aisee hadi tena zinakabiliwa hapohapo home,mzee unakuta ana mifugo kama kufuru vijijini ati wapo vzr Click to expand... kijijini fully salama labda km unaweka ng'ombe wasikimbie kwa jiran wakala mazao ila sio sn kuzuia wez